kifua kuuma wakati huo kukohoa sikohoi na maumivu huwa nayasikia pindi nikiwa nimekaa nimetulia lakini wakati na kazi au busy huwa siyasikia na titi la kuxhoto huwa panauma na mara pengine mkono wa kuxhoto na ukikandamiza kifua kwa nguvu kinauma. tafadhar anayejua dawa ama aina ya ugonjwa...
nikiiwasha hakun hata faili moja linaloonekana zaidi inaniandikia "unfortunately, launcher has collapsed" so hakun zaid kinachoendelea na hayo maneno hayatoki kwenye screen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.