Search results

  1. Coach Slamah Hamad

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Swali la kwanza = Hakuna Swali la pili=Hakuna Swali la tatu=Hakuna Muulizaji anauliza kutimiza itifaki tu ama? Waitikiaji nao? Hizo swing wakati na kushika kipaza sauti na total body motion yake ni attitude ama? Huyo jamaa mwenye Ndevu na upara kamuangalia mshika kipaza sauti kichwani mpaka...
  2. Coach Slamah Hamad

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Unaweza kuweka hapa background profile yake na utendaji wake katika Siasa mpaka sasa? Nimekua interested maana naona hapa kuna hoja za pande mbili zaidi, upande mmoja unamkataa (CCM + CDM) na upande mwingine unamkubali (CDM + CCM). Pia hint ya jina lake kukatwa uchaguzi mkuu 2020 licha ya...
  3. Coach Slamah Hamad

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Wacha eeh! Na pua unabana kabisa?!
  4. Coach Slamah Hamad

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Alhamdulillah ya Mwakyembe inaendelea kuwa faida kwa maelfu ya watanzania kila siku inayokuja na kupita.
  5. Coach Slamah Hamad

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Sasa kwa maneno haya kwanini nae anapopewa mic anamalizia mnapoishia nyie, mnashangaa?
  6. Coach Slamah Hamad

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Kumbe haya yanatokea kweli? Kwa gharama ya jasho (kodi) la watanzania? Okay.
  7. Coach Slamah Hamad

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Na bado tunashangaa kwanini wengi wa watanzania wanaokalia nafasi za uongozi wa nchi hii wako hivyo walivyo na nchi iko hapa ilipo?
  8. Coach Slamah Hamad

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Halafu wewe haya ni maadili ya wapi?
  9. Coach Slamah Hamad

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Maadili ya utumishi ndio hayo mnayosema kwamba hatakiwi kupiga kelele “wakati wa kula”?
  10. Coach Slamah Hamad

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Hapo kwenye bold… Hao viongozi wanatokana na sisi wananchi wenyewe, hawatoki kuzimu. Kinachowajenga na kuwapa nguvu kuwa hivyo walivyo sasa ni jamii yetu. Wao ni zao letu, ni watu miongoni mwetu na matokeo ya mienendo ya jamii yetu. Bado kuna jambo lipo linalosababisha hii tofauti kati yetu...
  11. Coach Slamah Hamad

    Kuna tofauti ya kutukana na kuonesha hisia za kuudhiwa na uovu au ubaya uliopindukia

    Swali la msingi, Kuna ushahidi kwamba anaetuhumiwa kujihusisha na vitendo hivi ni kweli anahusika navyo? Ushahidi huo ni pasi na shaka? Na Kama ni kweli basi muhusika kwa mujibu wa sheria ambazo zimetungwa kwa mujibu wa jamii yenye mila, tamaduni na desturi zake, ameshiriki mapenzi ya jinsia...
  12. Coach Slamah Hamad

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Kweli? Unataka kusema mtaa/jamii unaoishi wewe kila mmoja yuko na anachohitaji kwa asilimia 100? Hakuna kabisa chochote unachoweza wewe kuwa chanzo chake ndani ya jamii/mtaa wako? Kabisa?
  13. Coach Slamah Hamad

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Ama utendaji ulio bora zaidi ni pamoja na kutumia rasilimali ya bure ya uwezo wa kuakili kubuni/ kutengeneza nyenzo za kukuwezesha kukabiliana/kuishi ndani ya mazingira yako? Utendaji wa subjects wa mleta mada ni pamoja na kuthubutu na kuweza kutumia akili/bongo zao effectively. Hoja ipo.
  14. Coach Slamah Hamad

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Uko sahihi. Lakini mleta mada yuko sahihi pia. Sana. Swali la kujiuliza ni ubora na utendaji wa watu wa huko ndio umewapa Mfumo thabiti unaowalinda wote kwa usawa ule ule kiasi kwamba matokeo mwisho wa siku ni almost sawa kwa wote kwa mujibu wa hiyo willingness ya kulipa gharama yoyote ili...
  15. Coach Slamah Hamad

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Ingekua hivyo kungekua na Mtume mmoja tu wa kipindi kimoja tu au? Maana kama Imani haiongozwi na maono mitume wengine walipata wapi wito wao? Wale wote walioyagusa maisha kwa namna moja ama nyingine walitudanganya waliposema “walipata maono fulani na fulani?
  16. Coach Slamah Hamad

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Labda huyo Mungu wake ndio “mume wa hivyo ulivyotaja?! Kazi kweli!
  17. Coach Slamah Hamad

    Kinana: CCM iwatambue Ndumilakuwili Wote ambao Mchana wako CCM na Usiku wako Chadema, pia kemeeni Ukabila na Udini!

    Sijawahi kuona mafanikio ya mbwa kuutafuna mkia wake mwenyewe, maybe this time.
Back
Top Bottom