Search results

  1. B

    Elections 2010 Kwa matokeo haya

    Wadau, Kwa hali hii, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. … mweee.. Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume, Wanamuziki, Wanataaluma, Mafisadi, Waganga wa kienyeji, Waadilifu... yaani ni fulu mixi. Asalaaale...
  2. B

    Inawezekana Lipumba na Slaa kuunganisha nguvu 2015?

    pamoja na yote haya lakini kuna wenye macho lakini hawaoni, kuna wenye masikio lakini hawasikii.sijui tuwasaidieje hawa na kwa uhakika kabisa ndio wanaoturudisha nyuma. Hatutachoka kuwahubiria na iko siku watafungua macho na masikio waweze kutumia kura yao kwa manufaa bora ya taifa letu.
  3. B

    Elections 2010 Hili Ndilo Neno La Mama Salma

    Hebu jamani tufikiri japo kidogo tu, hizi shule bila ya walimu, bila ya maabara, bila ya vitendea kazi kuna elimu kweli hapo? Hao walimu wachache wenyewe ndio wale wa voda faster hawana skills za kutosha za kufundisha na kimaadili ya ualimu pia nina mashaka nao. Hawa ndio tuwape watoto...
  4. B

    Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

    kama haya ni kweli, kama ni kweli; na hawa wakuu wa wwilaya itakuwaje?
  5. B

    Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

    jamani swaumu hii anafunga yeye tu peke yake???
  6. B

    Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

    Hebu tuzungumzie japo kidogo tu kuhusu hali ya raisi wetu. Mwaka 2005 alianguka pale jangani tukapewa sababu hizi na zile. Ameenda Mwanza CCM Kirumba ameanguka tena jukwaani, sababu hazikosekani. Mwaka huu wa uchaguzi tena ameanguka palepale jangwani hawachoki kutudanganya. Niliwahi kusoma...
  7. B

    Ccm mpya!

    hivi kweli kuna kitu gani cha kuwafagilia ccm? Labda tuseme kwamba ni mabingwa wa usanii kwa ahadi zisizotimizwa, mafisadi number moja, mabingwa wa siasa za kuchafuana, mabingwa wa kula rushwa, heko kwa ubadhilifu wa mali za uma, aisee wanaweza kushinda kwa hayo. Kila ukimmulika ccm amechafuka...
  8. B

    Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

    NARUDIA TENA Nyie vipi??? Sio kwamba hakuna hela. Hela wanafanyia kampeni. Kama nasema uongo mtu abishe hapa kwa hoja.
  9. B

    Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

    Nyie vipi??? Sio kwamba hakuna hela. Hela wanafanyia kampeni. Kama nasema uongo mtu abishe hapa kwa hoja.
  10. B

    Elections 2010 Tutumie akili zetu vizuri

    Wengine sijui huwa wanafikiria vipi. Mi nafikiri fikra zao zimefika mwisho. Hawajui kuwa kuna zaidi ya hapo walipo sasa. Tufungue akili zetu, hakuna ambacho hakiwezekani endapo tuna nia ya kutenda kwa dhati.
  11. B

    Elections 2010 Miaka mitano tu kwa Dr. Slaa

    sio kukurupuka kijana. Huyu mmarekani anakuambia unapata misaada mingi kuliko nchi nyingi za afrika. Unarasilimali nyingi kuliko nchi nyingi za afrika. Na bado huendelei,ameacha tu kukuambia kuwa wewe ni mpumbavu. Maneno haya yana maana hasa kama utakuwa unatafakari. Anamaanisha hawa viongozi...
  12. B

    Elections 2010 Kwa mtu mwenye akili na busara hili ni tusi.

    Kwa hawa wote wanaotoa maoni mazuri humu ndani ni wangapi watapiga kura kumchagua huyo kiongozi bora?
  13. B

    Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

    Wamezoea usanii mtupu kiasi kwamba bila ya kuwa na ngoma, taarabu na komba wao nyuma hawawezi kufanya kampeni
  14. B

    Ccm mpya!

    Unajua ukweli ni kwamba, "tusipojichunguza kwa nini hatuendelei wakati tunapata misaada mingi (kitu ambacho sipendi) na tuna rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi za afrika hatutakaa tuendelee daima". Kikwete atatuachia nchi katika mikono ya wahisani, sera zake hovyo, kauli mbiu usanii...
  15. B

    Elections 2010 Tutumie akili zetu vizuri

    Tusipojichunguza kwa nini hatuendelei wakati tunapata misaada mingi (kitu ambacho sipendi) na tuna rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi za africa hatutakaa tuendelee daima. Serikali ya sasa inatuachia nchi katika mikono ya wahisani. Ni vipi tutegemee misaada??? Tunaposema kilimo kwanza ni...
  16. B

    Ccm mpya!

    Ccm kimwili wako hai ila kifikra wamekufa
  17. B

    Elections 2010 Kwa mtu mwenye akili na busara hili ni tusi.

    Hapa sasa nakumbuka statement ya balozi wa marekani hapa nchini aliposema "tanzania isipojichunguza kwa nini haiendelei wakati inapata misaada mingi na ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi za afrika haitakaa iendelee daima". Akutukanaye hakuchagulii tusi.kwa mtu mwenye akili na busara hili...
Back
Top Bottom