Search results

  1. K

    Askofu Pengo na Balozi Ndobho wamjibu Nape

    Kwa ccm, tusubiri yatajitokeza mengi kuliko tulivyotegemea.Tusubiri
  2. K

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    mimi kwa askofu ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu, lakini lazima tukubali kuwa ktk utawawala wa makanisa yetu tutapa viongozi ambao wako tayari kutumia joho la kuwaongoza konndooo wa bwana kwa manufaa ya kisiasa. Naamini askofu wetu amepotoka hapa, hebu washauri wake wa karibu wamsaidie...
  3. K

    Elections 2010 CONFIRMED: Bukombe yaenda Chadema... Prof. Kahigi ndani

    figure; Chadema arround 19, 000 CCM; arround 11,000 please view itv now they are showing the figures
  4. K

    Elections 2010 CONFIRMED: Bukombe yaenda Chadema... Prof. Kahigi ndani

    Hatimae Prof Kahigi atangazwa mshindi, view itv now
  5. K

    Elections 2010 CONFIRMED: Maswa Mashariki na Magharibi: CHADEMA yaua tena

    Chadema imeshinda mjimbo yote maswa, Source TBC1
  6. K

    Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

    Arusha imelipuka kwa furaha kinachosikika sasa ni mayowe ya furaha na honi za magari.Huyu mama aliwahi kutamka ktk moja ya kampeni zake kuwa watu wa Arusha mtake msitake mi ndio mbunge wenu" kiko wapi sasa?
  7. K

    Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

    Angalia star tv live, bado hajatangazwa jamani
  8. K

    Elections 2010 Hili la viongozi wastaafu linakuaje?

    Kwa maoni yangu nafikiri ni vyema viongozi wetu wakuu km raisi na waziri mkuu, wakistaafu wapewe stahili zao ambazo ni sawa kama watumishi wengine wa umma. Taifa lisienndelee kubeba mizigo ya kuwahudumia. Viongozi wetu wastaafu tunawapenda na tungependa waishi maisha marefu baada ya kustaafu...
  9. K

    Florian Kaijage apigwa chini TFF

    katika itv leo usiku waziri Mkuchika ametoa agizo TFF imchukulie mtu yeyote atakae dhirihika kuhusika na uzembe uliosababisha nyimbo za taifa zisichezwe hapo uwanja wa taifa. Wakati huo akijua wazi kuwa TFF ilishachukukua hatua ya kumsimamisha msemaji wake bw Kaijage.je hamuoni hatua hiyo ya...
  10. K

    Elections 2010 Dalili ya ushindi wa kushindo kwa chadema imekwishaonekana

    Dalili sawa ziko wazi, ila tujiulize ccm wako tayari kufungasha virago? tusije kuwa another Kenya or rather Zimbabwe. Ninachoomba come 31st oct wote twende tupige kura. Kama hatujapata ikulu at least tuwe na majority kwenye bunge ili tukomeshe hiyo arrogance wanayotumia kupitisha miswada mibovu
  11. K

    Mimi ni mgeni, ni fahari kuwa hapa

    Ni jambo la kujivunia kujiunga nanyi waungwana, natumaini ni muda muafaka.
Back
Top Bottom