Search results

  1. A

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    sioni tatizo la umbile kuwa dogo hapa mihimu ni kujua jinsi ya kutumia hicho kiungo ulichopewa na mungu.wapo wenzetu wa mkoa kagera wana ufundi wa kufanya mapenzi bila uume kuingia ndani wanacheza hapo kwenye kinemb...mpaka mwanmke anafika kileleni.kwahy awe mbunifu wa mapenzi asikimbilie dawa...
  2. A

    Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA

    nilisikitika zaidi pale Regina na kibonde walipokuwa wanasisitiza mitambo ya dowans iwashwe kana kwamba wametumwa na watu waipigie debe ili serikali inunue ile mitambo.inatia shaka uelewa wa watangazaji hawa sidhani kama wana uelewa na sheria zinazosimamia manunuzi ya serikali zinasemaje.waende...
  3. A

    Sheria inasemaje kwa mbunge aliyekutwa nakosa mahakamani na kuhukumiwa??

    nadhani tuwekane sawa na kuelimishana kesi ya Chcha wanwe na chenge zote zilifunguliwa chini ya sheria za makosa ya barabarani hivyo kisheria zina uzito sawa.tofauti iliyopo ni nani na ana nafasi gani katika jamii mtu aliyeusika katika kesi.mfano yule wa chacha mojawapo ya kosa alilohusika nalo...
  4. A

    Kibonde_clouds live, hataki mabadiliko

    ukweli nilimsikia kipindi chote na wengine watangazaji walikuwa wanchangia kikubwa nilichojifunza kutoka kwao ni uelewa mdogo wa waandishi wengi wa habari katika mambo mengi hasa ya msingi kama ili la katiba mpya.K1bonde anadai kwamba hata wale wanaodai katiba mpya kwa kuandamana ati hawajui...
  5. A

    Elections 2010 Mgombea CHADEMA Nkenge ajiondoa kugombea Ubunge

    hapo umechemsha.hoja ya msingi aliyosema FOCAS ni kutopewa ela ya kampeni kama ni suala la incompetence ya uongozi angekuwa ametoka kwenye chama tangu zamani,maana mbowe hajachaguliwa kuwa mkit baada ya kampeni kuanza.
  6. A

    Elections 2010 Mgombea CHADEMA Nkenge ajiondoa kugombea Ubunge

    Nadhani huyo mpiga mziki amekosa sababu ya kushawishi umma kwa kujiondoa kwake.kwani alivyoingia kwenye kinyang'anyiro aliambiwa atapewa ela?au aliingia kutafuta ela za CCM Wanazotoa kwa wagombea wa vyama vya upinzani ili wajitoe na kuwaacha wakiwa hawana wapinzani.Hata ccm wagombea hawajapewa...
  7. A

    Elections 2010 Ccm yasimamisha mgombea ubunge wa darasa la 6c jimbo la mhambwe!

    sioni kama kuwa mbunge wa ccm na sasa ameamua kutoka kunaweza kumfanya asiwe mwanachama mwaminifu kwa CHADEMA.mtu anabadili dini na anakuwa muhumini mzuri zaidi ya waliozaliwa kwenye hiyo dini
  8. A

    Elections 2010 Kikwete kweli anawajali watoto na wazee?

    nimependa lugha ya picha uliyoitumia.ujumbe umefika
  9. A

    Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

    ni bora uchaguzi ukahairishwa lakini haki ionekane imetendeka
  10. A

    Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

    Kitu nilichojifunza kuhusu Kibonde ni uelewa mdogo wa mambo, na hii inatia shaka kama anaweza kutofautisha au kuelewa maana ya separation of power. Lazima ajue kwamba pesa yeyote ya serikali ili iweze kutumika lazima ipitishwe na bunge. Sasa Kibonde atueleze ni bunge lipi limepitisha hiyo...
  11. A

    Elections 2010 Wafanyakazi: Tutampigia kura Jakaya Kikwete

    hapo sijaelewa umeg"ata meno?
  12. A

    Je, Ni Haki Kuwavisha FFU Mavazi Haya?

    hapa kinachoanagaliwa sio hali ya hewa bali usalama wao
  13. A

    Elections 2010 Kulikonj Msafara wa Kampeni ya JK kuandamana na Ambulance!!!!!!

    nami sioni ubaya wa ambulance kuwa stand by kwenye sehemu ya adhara kama hiyo.kumbuka hata kwenye shughuli za michezo ambulance zinakuwepo.tatizo hapa hatujazoea vitu kama hivi lakini ni utaratibu unaokubalika kama unavyoona magari ya fire yanapaki stand by kama mlimani city
Back
Top Bottom