Search results

  1. M

    Said Lugumi avunja ukimya, atoa taarifa kwa vyombo vya habari

    Umenena vyema sana .....baada ya principle of natural justice kufuatwa tusubr vyombo huska vituletee Majibu sahihi
  2. M

    Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

    Inabidi utenge muda mapema kabisa mkuu maana hili ni dhahiri
  3. M

    Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

    Wale wanahaha kuleta wengine hawawezi kufukuza wale itakuwa wamekimbiwa
  4. M

    Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

    Mtangazaji mahiri nchi aliyevuma sana na kipindi cha Jahazi cha CloudsFm kabla ya kuhama radio hyo amerejea tena kwenye Radio hyo yenye makazi yake Mikocheni Jijini Dsm. Gadner ameonekana Katika picha akisaini mkataba mbele ya mmoja wa Maboss wa Radio hiyo Shaffih Dauda na inasemekana atarudi...
  5. M

    Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

    Walitoka kina Kipanya, Dina Marios na bado Jamaa wako vilevile....watumbuliwe tu kama wanaleta upuuzi
  6. M

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Ni shangwe na nderemo kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mjini Dodoma yalipo makao makuu na Tanzania kwa ujumla baada ya Kufanyika mchujo wa Tano bora. Ulikuwa ni mmpambano uliovuta wengi ni nani na nani watakaoingia kwenye ngwe hii ya Lala salama. Hatimaye majina matano yametitokeza...
  7. M

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    MAKAMBA AWAGARAGAZA MWIGULU NA KIGWANGALAH KAMATI KUU ..... kikao cha kamati kuu ndani ya chama cha mapinduzi. kikiwa kimemalizika na mihemmko ya wengi,Ikiwa juu zaidi ya kifuniko cha soda. Wengi wakimsubiria kwa hamu Katibu wa chama cha Mapinduzi Ndg. Kanali Abdulrahman Kinana. Kutaja...
  8. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Majungu sio mtaji ufanye utajirike ongea na FACTS with Evidence
  9. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Mwigulu vipi ahaahaaaaaaaaa mafuriko ya kutengeneza Thailand
  10. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    dhambi ya chuki ni Umauti mtoa mada amekulisha chuki eeeh...sanuka wewe
  11. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Na vijana wanasema ahaaaaa chama cha mapinduzi CCM namba one. Ungejua anavyotuhofia usingemtaja hapa.
  12. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    hata gazeti la chama limekubali makamba namba one.
  13. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Hahaaaa akikukera unaleta janja ya nyani Ukubali January amewapiga bao. ... Utachekea chooni tu hakuna namna. ...
  14. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Unataka atajwe nani tena. ...!?
  15. M

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Utampenda tu hakuna namna
  16. M

    Nchi yahamia Dodoma

    Kama angewatendea haki wanafunzi mikopo vyuo vikuu,leo ingekuwa habari nyingine but hapo tu amefeli. ...
  17. M

    Nchi yahamia Dodoma

    Kikifika kipindi cha lugha chafu nafikiri atajumuishwa hakuna namna tu.
  18. M

    CCM tumefikaje hapa tulipo?

    Muda mwingine tupime hata kwa picha mwigulu akizungumza na wadhamin wake . UTAKUBALI UKATAE MAPOKEZI YA JANUARY MAKAMBA MWANZA Hapo vipi Dalali kila mahali upo choose ua battle wisely
  19. M

    CCM tumefikaje hapa tulipo?

    Hapo kwa mwigulu umekosea let me clear you with Evidence. January makamba mbeya alipokwenda kuomba wadhamini hapa ni Arusha
Back
Top Bottom