Search results

  1. SAMORE

    Kuwashwa sehemu za siri baada ya tendo

    Habari zenu wakuu! Nahitaji mawazo yenu mke wangu amekua na tatzo la kuwashwa kila baada ya kumaliza tendo.Hali hii inapelekea mwenzangu kunihisi nimechepuka kitendo ambacho kinachoniumiza ndoa yang ipo mashakani.naombeni msaada wenu wa mawazo
  2. SAMORE

    Mwenye uelewe wa hili naomba ufafanuzi

    Wakuu naomba mnisaidie kunielekeza kuhusu hii picha ya Ultra Sound na naattach na maelezo yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. SAMORE

    msaada jamani

    *mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 manzese hapa aniazime charger ya HUAWEI* *ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]*
  4. SAMORE

    SHIKAMOO BANGI

    Siku nilipogundua bangi sio mchicha ni pale ambapo nilitoka ndani kwenda kutoa pesa kwa M-pesa nikiwa na remote ya TV,nikaacha simu ndani... Nilipofika kibanda cha M-pesa na remote ya TV mzee akaniangalia na kutingisha kichwa... Ikanibidi nirudi home nichukue simu,nilipofika nilikuta giza umeme...
  5. SAMORE

    Nafasi ya kazi

    JOB VACANCY... Je,unatafuta ajira nzuri inayolipa? 1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi. 2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi hadi saa 4 jioni. 3.Allowance 300,000/= kwa mwezi. 4.Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa. 5.Usafiri na nyumba ya kuishi ipo. Requirements.. 1.Cheti cha form 4 na form 6...
  6. SAMORE

    Ratiba yangu oktiba 25

    Ratiba yangu ya oktoba 25: 1. Naamka mapema sana 2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira 3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne 4.naangalia picha ya mwangosi 5.nakunywa tena juice ya ukwaju 6.nachukua kikatio 7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili...
  7. SAMORE

    Picha ya siku

  8. SAMORE

    Ni kweli Chelsea wanapaki basi?

  9. SAMORE

    Breking news!!!!!

    BREAKING NEWS. Habari zilizotufikia hivi punde ni kuhusu, Basi la kampuni ya Mohamed Trans lililokua likitoke Mwanza kuelekea Dar lilipofika maeneo ya Misungwi dereva wa basi hilo alimuwashia taa(full light) dereva mwenzake aliekua akiendesha gari kubwa la mizigo(semi trailler) nalo pia likiwa...
Back
Top Bottom