Search results

  1. U

    Wanawake wa kabila la Wasafwa

    Wanawake wakisafwa kwanza ni wachapa kazi, waoga,warembo, si wacha mungu sana,asilimia kubwa hutumia pombe za asiri hasa dadii, pia ni waaminifu sana na wengi wao huanzia mapenzi kwenye ndoa, shughuri yao kuu ni kilimo cha mahindi ,viazi mviringo na maharage.
  2. U

    Msaada : Anayeijua huu wimbo.

    NAMIMI NIMEUTAFUTA HUU WIMBO MWAKA WA NNE SASA BILA MAFANIKIO NAOMBA ALIYEUPATA ANIPATIE NAMI
  3. U

    Please kwa aliyepo DUCE nahitaji msaada

    S.3102.0010.2011 Ndiyo hiyo ndugu maana nasikia waliyobandika chuoni na ukicheki heslb ni tofauti
  4. U

    Please kwa aliyepo DUCE nahitaji msaada

    Naomba kumwangalizia mkopo mdogo wangu nipo ileje na tetesi wanasema eti mikopo imebandikwa chuoni.
  5. U

    Niulize Chochote kuhusu DUCE

    Mi naomba kujua kuna mazoea gani kati ya wasichana wa duce na wanajeshi wa mgulani pale maana kuna dada yangu mwaka jana alipewa mimba na mwanajeshi wa pale na akajifungua kipindi cha ue so akaairisha mwaka na kuna mdogo wangu anakuja duce so nataka nimpe mwangaza kuhusu mahusiano yaliyopo kati...
  6. U

    Mwenye mwangaza wa kutumia boom

    wao wenyewe wakupao bumu washakwambia matumizi yake ukifuata pia inasaidia maana kwa siku ni shingapi? ni siku ngapi? na ni kwanini umepewa hicho kiasi,, japo kiuhalisia lazima utumie chini ya kiasi unachopewa kwa siku maana kuna matumizi mengine yanakuja automatic kutakana na masha ya binadamu...
Back
Top Bottom