Search results

  1. Z

    Waliotegemea malipo ya uzeeni ujanani sasa tena basi! Ufafanuzi kutoka Mamlaka - SSRA

    Hansard ya kikao cha bunge. Sasa hayo maneno yanayotamka fao la kujitoa limesitishwa mbona hatuyaoni? SSRA wasanii fulani (wametokea "wengi wao" PPF -- CEO alikuwa manager wa investment) bado ana uchu wa ku-invest hela zetu za wafanyakazi ktk miradi isiyokuwa na "returns" nzuri. Wabunge wote...
  2. Z

    Polisi wamwachie Lulu mara moja................

    naona wadau mnaangalia mno CSI ktk luninga. Crime scene umesema contaminated... is it a crime scene? maybe SK alikuwa amekamata (whisky - JD chupaa kadhaa.... - Quote from newspaper).. then akaanguka mweyewe... cku ya kifo ni pale mungu anapokuita... haikwepeki
  3. Z

    Kuagiza mbwa toka SA

    agiza rhodesia ridgeback ndio wazuri kwa ulinzi. matunzo ni muhimu lakini... sio kuwapa mabaki ya kiti moto au mifupa ya makongoro.. be prepared. nenda mali asili & mifugo wizarani watakupa info zote. all the best.
  4. Z

    Video: The 5 Communication Secrets That Swept Obama to the Presidency

    Try to visit National Website of the United Republic of Tanzania govt website distributing malware.......
  5. Z

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    mbona document aliyoweka mdau mlenge ina makosa mengi (grammatical errors)?
  6. Z

    Matumizi ya barabara- nani yupo juu ya sheria?

    utapata presha buree!:disapointed: jitahidi kuwahi kuondoka nyumbani.. no que hehe hehe:)
  7. Z

    Member mwenzetu YO YO yuko matatani

    kavunja sheria. vile vile ni mkorofi. angetakiwa apewe adhabu ya viboko kumi na faini. hatarudia tena.:shock:
Back
Top Bottom