Search results

  1. W

    Kufungua tawi la chadema udom

    sawa yetu macho
  2. W

    Kufungua tawi la chadema udom

    Naamini umetujibu kwa nia njema kabisa asante kwa ushauri wako. labda haukuona vema eneo ambalo hili tawi linafunguliwa si katika eneo la chuo kwani ni mjini kabisa. pia wanofungua ni wafanyakazi na wanafunzi hivyo usihofu wanafunzi hatapewa majukumu mazito yatakayo sababisha kushuka ufanisi...
  3. W

    Kauli ya First Lady wa Dk. Slaa, Josephine

    Hapo umenena wewe ni kichwa mkuu. propaganda huwa hazifanyi kazi wakati wote. muulize waziri wa habari wa saadam hussein. DR. W. Slaa songa mbele
  4. W

    Elections 2010 CCM wabanwa vijijini; wamuongezea mzigo JK

    Tusilumbane wapenda maendeleo wote kura kwa dr. Slaa. Hakikisha meseji za kumwaga kwenda kwa watu wote unaowafahamu, kumbuka wengi wanakuamini na kukuheshimu tumia nafasi hiyo kuendelea kuomba kura kwa ajili ya slaa
  5. W

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    Ninampa pole marin kwa kilichompa. Ninampa ushauri wa bure kabisa aache kutafuta ukuu wa wilaya kwa mbinu chafu azingatie maadili la sivyo siku moja atang'oka meno kwa ushamba. Nguvu ya uma inatisha.
  6. W

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    Ninampa pole marin kwa kilichompa. Ninampa ushauri wa bure kabisa aache kutafuta ukuu wa wilaya kwa mbinu chafu azingatie maadili la sivyo siku moja atang'oka meno kwa ushamba. Nguvu ya uma inatisha.
  7. W

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    TBC SITAITAJA KWANI WAO NILIWATARAJIA. Magazeti ya R. Mengi yanachefua sana kwani wanashindwa kusimamia maadili ya uandishi wanajikomba sana hawa ndugu hivi hawafahamu kwamba uchaguzi unapita? Watanzania ninaomba tutambuo vyombo na waandishi wa ukweli na wa uongo. Sitamfasahau kibonde huyu ni...
  8. W

    Makapi ya CCM yanapokuwa ngano kwa CHADEMA

    Kiama cha Kikwete kimefika, Nani amesema Chadema hakitapata wabunge wengi? ni mwendawazimu tu ndiye anaweza kuamini hivyo. Kuna watu wengi wako na wengine walikuwa ccm si kwa sababu wanaamini kilichopo huko, bali ni kutokana na woga wa kufuatiliwa, sasa wamegundua Chadema kina nguvu kubwa na...
  9. W

    Serikali Yawapoza Wafanyakazi!

    Rushwa hiyo na hapa wafanyakazi hatudanganyiki labda hao wenye vyeo vya kutuliwa na wanaofanana na hao sisiem mmefulia vibaya kwa kauli za kuropoka
  10. W

    Elections 2010 Kyela elections!

    Hongera Mwakyembe ninatamani hata viongozi wangu wa Chadema wasiweke mgombea huko, ila ninaomba tu tuunge mkono kumng'oa JK kwa kura halali si unajua jamaa alikuwa amekuacha ushughulikiwe na mafisadi. Asanteni wanakyela chukueni zile rushwa za CCM ila kura zote tumpe Dr. Slaa ahsanteni.
  11. W

    Elections 2010 Ufisadi kura za maoni ccm tahadhari kambi ya upinzani

    Kwa kweli kelele za wana CCM kufisadiwa katika kura za maoni na wana CCM wenzao kuchukuliwe kwa tahadhari kwani wengi wanaolalamika wanajua chama kimezoea kufanya nini ili kupata unaoitwa "ushindi wa kishindo" wakitoka huko mbinu hizohizo zinaweza kutumika endapo zitaruhusiwa. Rai kambi ya...
  12. W

    Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

    Kwa kweli Dr. Slaa ni mtu makini na sio siri wasomi wenzagu wa chuo kikuu niliokutana nao wanaonyesha kumuunga mkono sana. Wapo na wengine wengi waliokuwa wamekata tamaa ya kupiga kura wamesema ari ya kura imerudi kwa kishindo na kura zote kwa Dr. Slaa. kwa kweli hao wapambe wa mafisadi matumbo...
  13. W

    Elections 2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    BASHE ANAANGUKA KWA KISHINDO KWANI HAPA LUSSU YAANI9 MWALUZWILO WATU WANADAI NI BORA APITE KIGWANGALA Dr. kuliko huyu wa richmond
  14. W

    Elections 2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    Wewe ndugu usinilazimishe nikukabili wewe binafsi kwani ninawasiwasi na uwezo wako wa kueleza haya. Jifunze namna njema ya kutoa propaganda. Ninachokiona kwako unashindwa kueleza maeneo ambayo Bashe hakubaliki unajihalibia bure hatra hiyo kazi uliyo pewa itakushinda na watakuona haufa hiza pesa...
  15. W

    Mnyika kuibua ufisadi mpya ubungo

    Mnyika ninakutakia mafanikio katika kuukwaa uwakilishi wa wananchi wqa ubungo. Ni imani yangu umejipanga vema na mkakatio wa serikali kukunyima kura za udsm na ndio maana wamelazimisha vyuo kuchelewa kufunguliwa. hofu ni wewe, si unajua ulivyobeba kura pale UDSM? wewe ni mshindi, tumia kila...
  16. W

    Elections 2010 Nani kashinda na CHADEMA Rombo?

    pole kaka kichwa cha habari hakikueleweka vema. Jitahidi kuandika vema , swali lako sina jibu ni matum aini yangu utapata jibu lako
  17. W

    Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

    Ninazindua kampeni rasmi, Dr. Slaa, anaifaa nchi hii iliyofikishwa hapa ilipo, ninaomba aungwe mkono, kwani ninauhakika kabisa kwa kura atakazopata si haba . Viti maalumu vya ubunge pia vitaongezeka sana kupitia Dr. Slaa.
  18. W

    Elections 2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    huyu jamaa hana uhakika kwani mimi nipo nzega na hali hiyo haipo acheni uongo
Back
Top Bottom