kibonde hebu tuambie, huwa unafanyaje? unafunika sura au macho makavu? maana duuh!! namaanisha wakati wa kusoma habari. si umenielewa eeeeh? nanihii nae anavua miwani au anaendelea kuvaa? mara nyingi huwa ni dodoma au dar? kaaazi kweli kweli!!! clouds bana!!
Kwa Halmashauri ya Arusha Mjini, uwezekano ni mkubwa wa kuongozwa na CHADEMA, sababu madiwani wa viti maalum wanapatikana kutegemeana na idadi ya kura za mgombea ubunge. kwa vile Arusha Mjini mgombea ubunge wa CHADEMA alipata kura 56,196 (58.3%) dhidi ya kura 39,362 (38.8%) alizopata mgombea wa...
hivi huoni hata aibu baba zima unakuja na ushauri wako wa kibwege kama huu? hiyo ailimia 20% umeitoa wapi? nyie ndio wezi wa kura zetu nyie!! unamfananisha mpambanaji wetu na wakongwe wa ccm? wewe m*&%$ nini?
majjid umefilisika kiuandishi hadi nakuonea huruma ndugu yangu. naona umekaa mkao wa kusubiri hisani ya CCM upewe hata ukatibu tarafa!! pole sana ndugu yangu. jitahidi labda JK kama ataweza kuchakachuwa kura atakukumbuka na kukupa hata utendaji kata ya KIHESA iringa. maana majjid yule wa enzi...
Nakushauri usipitie kwenye website ya tradecarview, kuna gharama zitaongezeka, maana wao wanakukutanisha na makampuni yanayouza magari, wao sio wauzaji, so kuna cost zinaongezeka kutokana na wao nao hutakiwa kulipwa na hiyo kampuni baada ya gari kuuzika. Ingia moja kwa moja kwenye website za...
Kwa ajili ya kuweka rekodi sahihi:
MAKAMBA aliwahi kuweka rekodi ya kuwa mkuu wa mkoa wa kwanza Tanzania (wakati huo akiwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro) kufeli masomo yake ya diploma akiwa mwaka wa kwanza tuu katika chuo cha maendeleo Mzumbe Morogoro (kabla hakijawa chuo kikuu).
Japokuwa...
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo.
Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Kasulu kwa tuhuma za kugawa rushwa hapo juzi, hivi leo amekabidhi barua ya kuhamishwa kituo...
Malaria sugu hujapimwa tuu ujue kinachokusumbua? hiyo siyo malaria kipo kitu kingine wewe! kazi kufuata fuata vyama vya wenzako. nenda kwa marini hassan marini mkamlambe miguu kikwete
wewe unataka kila kitu tuige nchi zingine? hatuwezi kuwa na mambo yetu tuu ambayo siyo lazima na nchi zingine ziwe nayo? acha kasumba za kuigaiga na kujiringanisha na nchi za wenzetu. wacha watu wajinafasi. kwani inakupunguzia nini au kukuongezea nini? acha roho na mioyo ya watanzania ifanye ile...
kazi unayo diwani! hivi bashe ana wake wangapi vile? naomba unijibu maana umesema mwenye swali akuulize. jitahidi maana huyo mwislamu bwana anaruhusiwa kuongeza. nadhani wakubwa mmenielewa
hapo SS anatetea uozo, na siajabu anatetea anayoyafanya yeye kwenye jimbo lake anajihami kabla ya hatari. kuna mambo wanafanya hawa waheshimiwa majimboni kwao ni ajabu kabisa, kama huku umasaini kwetu, hawa wabunge waliopo madarakani wanarudi siku za weekend na kuwachinjia wamasai wenzetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.