Search results

  1. Makambaja

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Mikwara tu hiyo tar 20/01/2020. tunaendelea na mawasiliano bila namba za Nida wala kitambulisho. Binafsi nitaenda NIDA watakavyorekebisha usumbufu wao.
  2. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yap .. Three mountains or three tops is top reversal.
  3. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yani kirahisi tu watu tutumie namba ambayo hatuijui maana yake kwenye maswala ya msingi sana kama hela??? you can't be serious dude. tuambie hiyo namba maaana yake na madhara ya kuitumia hiyo namba na pia umeipata wapi a.k.a nani kakupa. who is the guy behind the number??????? otherwise I can...
  4. Makambaja

    ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Shukrani kwa kutuvutia hicho kimoja! ila vipo vitatu.... viwili ni hivi hapa, labda ukipata nafasi. Unaweza kutusaidia pia. ● Lions on the move: Realising potential of Africa's economy. Kimeandikwa na mzee baba Acha Leke wa Mckinsey. ●Pia Ashish Thakkar huyu dogo bilionea wa uganda ana kitabu...
  5. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    E bwana hongera! Naona top-reversal patterns unazipatia sana. Big up. ingawa SL siooni. utakuwa na 100% uhakika na pattern yako haha! Safi sana
  6. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yap Lodrick! Sio mbaya sana ingawaje utakuwa umeongeza risk kidogo. "Pro trader wanakwambaia protect your capital in any way". but the most important ni SL.
  7. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Pole, naona tunajifunza the hardway, but one of these days tutafanya vyema! Sio vzr sana ku trade ule muda news inakuwa released, ni vyema ukafunga pisition.... then after news u join the train. What gives account to fundamental analysisis is the "the market reaction to news and not the news...
  8. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    ofcourse yes...hata 4hrs, Daily kama upo vzr. Lakini Weekly na Monthly kwanza inabidi uwe na Margin ya kueleweka mana pullbacks na rally za katikati hapo zitakutoa nje tu. Pia uwe na knowledge ya kutosha. infact unaweza trade long-term ila kwa newbie its not appropriate at all. long-term kwako...
  9. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    James naona upo kwenye monthly timeframe... kwa maneno mengine unahitaji mwezi au miezi kadhaa setup yako ikubali.. unless you are a long-term trader. ila nadhani huko si kwako.
  10. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    hapo labda ulikosea tu mwenyewe. take profit uliset 109.688 badala ya 109.188 uliyoitaka. mana zinafanana sana. "Entry error". Double check. otherwise I got no idea!
  11. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Thompson ni hivi.... hapo ishu ni setup ya stop-loss umeikosea katika mazingira haya: Wakati una sell hiyo pair ilikuwa kwenye range, kwa hiyo ilitakiwa uweze ku- identify key technical levels za hiyo timeframe (15m)...na maanisha support and resistance. key technical levels huweza kusaidia...
  12. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yeah! The man deserves the best. Thanks Ontario too. najua sio tango pori mana ungetushauri tofauti, thanks guys. "Together We Can".
  13. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    hello pipos kufahamu candlestick kwa undani sio mbaya ili ku master hii kitu...kama kuna mtu ataweza ku download kitabu hicho...itakuwa poa. kimekuwa recommended na currency for dummies....hakipo nje ya syllabus haha
  14. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Option nyingi inategemea broker unayemtumia. Lakini unaweza ongeza demo nyingine kwenye broker uliyenaye (kama ana option hiyo). hizo micro account pia inategemeana na broker, so far nyingi ambazo ni maaarufu ni standard size (100,000) na Minilot (10,000). broker wengi wanatumia moja hiyo ya...
  15. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Sidhani kama unaweza badilisha leverage, ni shida. The way forward ni kufungua demo nyingine, na pia usiogope leverage. mbaya ni ile kubwa sana kama 1:500. lakini hizi 1:100 mpaka 1:10 ni nzuri kutumia.
  16. Makambaja

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nikushukuru sana kamanda. This is what I have been waiting for, tatizo hawa bankers nadhani ni ushamba unawasumbua. haya mambo yanawasaidia hata wao kuongeza bank revenues sijui wamekulia wapi na karne ipi bado sijapata jibu. Tatizo kubwa they are so rigid hata kusoma kidogo kinachoendelea...
Back
Top Bottom