Search results

  1. Diraqw

    Tabia mbalimbali za watu warefu

    Warefu kweli wanajiamini' ila wafupi ni wajeuri ile mbaya b/cose hawajiamini
  2. Diraqw

    Swali

    Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona number kike kwenye sm shida...
  3. Diraqw

    Wanawake wazuri na wanaume wawajibikaji wote wameolewa na kuoa

    Kuoa ni maamuzi ya mtu mwenyewe haijalishi sura mbaya au nzuri
  4. Diraqw

    Wanaume tunarogwa sana na hawa wanawake

    Tumtegemee mungu kuloga sio issue unaweza kosea ukajiloga mwenyewe
  5. Diraqw

    Pressure za kuoa na umri

    Kuna wazee wana miaka 45 na wanaoa mabinti wadogo!!!!!we jichanganye utapata mke wewe tu ndio unajichelewesha
  6. Diraqw

    Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

    Ni shidaaaaaaa.........kila vazi inategemea na mazingira yanayokuzunguka kama vile pub,etc but dada zetu mchana kweupe maumbo yote yanaonekana!!!!! Lakini si vizuri bana mnatuhamasisha,,,,,
  7. Diraqw

    Swali: Mwanaume kwa siku anatakiwa kuoga mara ngapi?

    Inategemea na mwili wa mtu mwenyewe pamoja na mazingira anayoishi...
  8. Diraqw

    In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

    Ukikubali utakuwa umejiundia bom mwenyewe na itakulipukia mwenyewe tayari ushastukiwa kuwa makini
  9. Diraqw

    Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

    Watu kama hao inapaswa kupewa adhabu ya kunyogwa mpaka wafe ili wengine wajifunze
Back
Top Bottom