Search results

  1. M

    Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Mheshimiwa upotoshaji wako ni Kutoa sababu ya kufungiwa safari za usiku. Nimesema sio Ujambazi ni Ajali. hili lieleweke vizuri, sio nakataa safari za usik
  2. M

    Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Kiongozi usipotoshe Historia, mabasi yalipigwa marufuku kusafiri usiku kwa sababu ya ajali na sio ujambazi. Mwaka 1992 ajali zilifululiza usiku na kulazimisha PM wa wakati huo Mzee John Malecela kuzuia safari za usiku baada ya Basi la Yarabi Salama kugonga lori lililosimama maeneo ya Ihumwa...
  3. M

    Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

    Ina maana siku zote tangu umuoe hujampiga chini? Tafuta Mkuyati au Mkashari kaka....😄
  4. M

    Bus la Ally's lagonga Kichwa cha Treni Manyoni Singida, Watu 13 wafariki Dunia, 25 wajeruhiwa

    pole sana kwa wafiwa, athari za mabasi kusafiri usiku zimeanza kuonekana. Dreva wanatakiwa kuwa makini sana
  5. M

    Tutafakari: Kama sisi ni nchi huru kwanini Serikali imkane Makonda? Haki zipi ambazo ziko nje ya katiba yetu? Je, serikali imeridhia ushoga?

    Kaka tuvute Subira, labda nyumbakubwa itatia neno .... au kuchukua hatua kutunusuru na laana hii, mbona mkataba wa ule mradi wa kitapapeli wa masuala ya wakimbizi (CRRF) ulioingiwa kijanja JPM aliutolea uvivu na kujitoa? Nilipenda sana ile. Mi bado nasubiri ...
  6. M

    Tutafakari: Kama sisi ni nchi huru kwanini Serikali imkane Makonda? Haki zipi ambazo ziko nje ya katiba yetu? Je, serikali imeridhia ushoga?

    Hivi Wizara ya Mambo ya Nje ndiye msemaji wa serikali? Serikali au Wizara Hii ndio inayotetea "kusukumana choo"? Tisubiri .... naona game bado.
  7. M

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Astaghaffirullahi! Hii ni balaa sana. Hata kuheshimu nyumba ya ibada ...
  8. M

    Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    Ndugu zangu, miaka ya 80 picha za rangi mbona zilikuwepo? mi ninayo picha ya Dingi 1982 Xmass na ipo clear kabisa na ya rangi. Wakati huo BurhaniStudio ndio inafunguliwa pale Arusha, na akina PHOTO ME STUDIO zikivuma. Back to the photo: naamini huyo mtoto ndiye Mwigulu. Lakini anachunga...
  9. M

    Ni Waziri Mkuu yupi aliyehamia Dodoma?

    Namkumbuka Nabii Tito wa Dar (anayepromote wababa kuzaa na maHG) ANASEMA MBINGUNI NI BAHARINI, labda wakuu hawataki9 kwenda mbali na mbinguni!!
  10. M

    Hoja ya mkoa wa Arusha kutopewa nafasi ya uwaziri hata moja kutawala uchaguzi wa Longido

    Nani kakwambia nafasi za uwaziri zinagawiwa kwa mikoa? Huna aibu kuleta ukanda/ukabila kama mlivozoea chamani kwenu.
  11. M

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Oooh! thanks, kunistua
  12. M

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Mkuu Betty Machangu alishaacha UDC mda mrefu, DC Kasulu alikuwa Somembody Guninita
  13. M

    Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    kuna watu bado wanamsikiliza Tundu Lisu - Aa=jabu sana
  14. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom inakera sana, tatizo langu ni pale unapoweka credit ili ujiunge na muda wa maongezi, lets say unajiunga kifurushi cha wiki cha 4000, hata ukiweka 42200m utaambiwa salio halitoshi kujiunga Hivi mbona mitandao mingine hawana hizo? mbaya zaidi hata ukiweka 4500 ukajiunga, hizo 500...
  15. M

    VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    Mnashangaa nini watu kama hao wamezoea sana uwongo, hukusikia mojawao akijiita Mungu? tena akiwa na wake 35!
  16. M

    Lowassa: Wabunge na Mameya wasiowajibika tutawafukuza CHADEMA

    CC ya chama gani bro? na ni mgombea urais wa nchi gani? TZ uchaguzi ulishaisha
Back
Top Bottom