Search results

  1. zhang laoshi

    Nahitaji gari toleo la Land Rover 109

    Mandolin ni bonge ya chuma ya kiume hasa upate pick up, ninalo moja soon litaingia town nililitoa mlima ya singisa Moro huko
  2. zhang laoshi

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Gari yangu ilikuwa na shida kama Hy, fatilia acceleration cable ikaguliwe unaweza kuta ina kitu, pia check front diffu may be ina cheza
  3. zhang laoshi

    Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    "connection" inamata sana sasa hv ,Ila amini kuwa future haitokuwa na dili sn, sababu utakuwa na connection ila position hamna ,itabaki unajuana na mkuu wa mkoa, waziri na mfanyabishara mkubwa but still itakuwa ngumu kupiga hatua itakayokidhi nafsi yako La muhimu ni pesa unayotumia Kwa mtt...
  4. zhang laoshi

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Hiyo gari badilisha plug wire zitakuwa zinatema sparks nje , so inapelekiea gari kumiss na kukosa nguvu ukiwa unapanda mlima sababu nguvu kubwa inahitajika, badilisha plug wire itatulia . Haya na matatizo yanayotokea gari ukienda nayo Safar ya mbali Ila ukiwa town trip huwez fahamu
  5. zhang laoshi

    Msaada, Ugonjwa wa ngozi unaotesa Wanangu

    #Mrejesho# Habari za Mida wakuu, napenda kutoa mrejesho wa Ugonjwa huu unaosumbua watoto wangu. Nashukuru Kwa wote mliotoa ushauri juu ya hili tatizo asanteni sn Shida ni Maziwa fresh ya ng'ombe , nilikuwa nawanunulia mtindi maeneo ya Mbezi, sasa nikaja kununua Maziwa fresh ya ng'ombe katika...
  6. zhang laoshi

    Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

    Mbona jamaa kaeleweka vizuri sn, hujaelewa wap mkuu? Anachotaka ni ushauri juuya gari Aina ya Verrosa na si vingine...... Or mbadala ya Verrosa ipi nyingine achukue, ? Simple and clear....
  7. zhang laoshi

    Msaada, Ugonjwa wa ngozi unaotesa Wanangu

    Hapana nimeona mdau katoa maelekezo nitaitafuta Asanteni sana
  8. zhang laoshi

    Msaada, Ugonjwa wa ngozi unaotesa Wanangu

    Habari Team Poleni na majukumu, watoto wangu Wana Ugonjwa wa ngozi wanajikuna na kutokea vidonda na kuacha makovu meusi. Nilifika hospital nikaambiwa na alegi waache kutumia ,mayai, nyama, maziwa na vitu vya sukari. Niliacha kuwapa lakini bado watoto wanajikuna na kuacha makovu Naombeni...
  9. zhang laoshi

    Naomba ushauri na mapendekezo kuhusu Suzuki Escudo old

    Chukua escudo ,gari nzuri sn niliuza ya Kwanza nikanunua tena nyingine, Ila Kwa budget yako ni ndogo at least ungefika M 10 utapata nzuri
  10. zhang laoshi

    Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

    Mvuha , Morogoro tayari
  11. zhang laoshi

    Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Aliuze pesa akasaidie masikini na wenye uhitaji....
  12. zhang laoshi

    Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

    Usijal ataongea Tu , bado mdogo
  13. zhang laoshi

    Binti mdogo anayemfungia ndani Mama yake mgonjwa aliyepooza kutwa nzima na kwenda kutafuta pesa za kumuhudumia inaumiza wengi mtaani

    Serikali za mtaa, kata wapo wapi wao ndo wapo karibu zaidi na jamii na watakuwa wanalijua hili , wanafanyaje kazi zao?
  14. zhang laoshi

    Ugonjwa gani huu? Msaada

    Dawa yake ni nn
Back
Top Bottom