Search results

  1. M

    Nyumba zinauzwa

    Nyumba zinauzwa ni mpya, ndio ziko kwenye hatua ya mmwisho< ziko kunduchi skanska-salasa. bei zinatofautiana na ukubwa wa eneo, bei inaanzia 130ml to 180ml. karibuni 0782370200
  2. M

    Fremu ya biashara

    Ipo mbezi mwisho, stand mpya, ni kubwa. Kodi ni 250000 kwa mwezi, inatakiwa kodi ya miezi 6. 0754255734
  3. M

    Mbao za Mningaha

    Habari wana JF, nahitaji mbao za mninga zilizojaa vizuri 2*8, kama mtu anazo tafadhali tuwasiliane kwa namba 0782370200.niko Dar es salaam
  4. M

    Joshking Timber and Woodworking

    Tunatengeneza Milango ya mbao na frem zake, makabati ya Jikoni,na bidhaa zinazotengenezwa kwa mbao, wasiliana nasi kwa namba hizi 0782370200n 0754255734
  5. M

    Gas ya bp

    Habari zenu wana JF, samahani naombeni msaada ni wapi naweza pata gas ya BP kwa hapa dar es salaam? mimi naishi tegeta, kwa anayejua tafadhali anisaidie. bless you
  6. M

    Gas ya BP inahitajika

    Habari zenu wana JF, samahani naombeni msaada ni wapi naweza pata gas ya BP kwa hapa Dar es salaam? Mimi naishi tegeta, kwa anayejua tafadhali anisaidie.
  7. M

    Nauza mayai ya kuku wa kienyeji

    habari wandugu,ninauza mayai ya kuku wa kienyeji, kwa mtu anayehitaji no zangu ni 0712 25 90 21 na 0754 255 734, tray moja ni sh 14000tsh.
  8. M

    Natafuta Sehemu ya kusupply chakula namaanisha Lunch

    Habari zenu wapendwa, mimi ni mama wa mtoto mmoja na mume mmoja, natafuta sehemu ya kusupply lunch kwa Dar es salaam. yeyote atakayesikia au anayefahamu sehemu ambayo wanashida hiyo tafadhali wasiliana nami kwa no 0712 25 90 21 na 0754 255 734, chakula changu ni kizuri na hautajuta. NB: At...
  9. M

    Natafuta sehemu ya ku supply lunch

    Habari wadau, naomba mnisaidie, natafuta sehemu ya ku supply lunch, yaani namaanisha niwe napika kwangu tehn napack kwa lunch box and then na supply. tafadhali ukisikia au kama unajua sehemu yeyote naomba nifahamishe kwa Mobile no 0754 255 734 au 0712 259 021. Mungu awabariki.
Back
Top Bottom