Search results

  1. jmaroa

    Laptop ya kununua

    Wapendwa ninahitaji laptop ya kununua.description iwe na ram ya 1gb -2gb na hard disc 100-200gb na processor wenye speed.screen size angalau iwe ya inchi 18 na bettery yake iwe wenye uwezo wa kukaa na charge (moto) angalau masaa mawili au matatu mwenye hivyo vyegezo anaweza kunitumia message...
  2. jmaroa

    Nauza King'amuzi cha Azam

    Wanajamvi asubuhi hii nilipost advert hapa kwamba nina king'amuzi cha kuuza (azam tv) king'amuzi na dish yake. Wengi mnauliza bei nitakiuza shilling laki moja na elfu kumi tu ila bargaining ipo wadau. Mi niko Mwanza. kama uko mikoani na una jamaa yako Mwanza unaweza ukamtuma aje...
  3. jmaroa

    Nunua king'amuzi

    Piga namba 0755520228 upate kingamzi kwa bei poa kabisa
  4. jmaroa

    King'amuzi cha kuuza

    Jamani wana jamvi nina kingamzi cha kuuza cha kampuni ya azamtv yeyote ambaye yuko willing kukinunua naomba tuwadiliane bei ni maelewano namba yangu ni 0755520228.
Back
Top Bottom