Search results

  1. E

    "kojoa dear"

    This is X-films class two, let it [post] go and never come back again.
  2. E

    Zito abadili dini

    Hii hoja si ya kuichukulia kilaini. Mwandishi unaönekana syesyemu pyua, ili kuwahadaa watz kuwa CDM cha wakatoliki. Badilika.
  3. E

    nimevutiwa na kila kila kitu ktk picha hii...wewe kimekuvutia nini?

    Hii post labda tuseme ni breather lakini haina mchango wowote. Tusipoteze muda ktk nonsense.
  4. E

    Is it that the world is not fair or God does not exist.

    Nijuavyo mimi hamaanishi wote. Ila kuna wale ambao utajiri wao haujapatikana kwa njia halali na pia matajiri wanajisahau kwa kufanya anasa bila kuwasadia wanaotaabika.
  5. E

    Bei zapanda baada ya Uchaguzi

    Sasa napendekeza kitu kimoja. Kama mtu akilalamika maisha magumu na anakutaka umsaidie: muulize alikipa kura Chama Gani? Atapata aibu na kujifunza.
  6. E

    Elections 2010 Kweli tarime kiboko!

    Sio siri, jamaa asipochukua tahadhari, awaage wana CCM mapema. Tarime hawadanganywi na Nec.
  7. E

    Elections 2010 MR II aka 'Sugu' Sasa Awa Mheshimiwa, Awa Mbunge wa Mbeya Mjini

    Mh. Mbilinyi. Sasa anaingia ulingoni. Tunataraji apigane kwa nguvu ili aweze kuwa First Eleven katika timu ya Kisiasa iitwayo CHADEMA ndani ya ligi kuu itwayo Bunge.
Back
Top Bottom