Kitu ambacho ccm wanakosea sana ni timing. Nina wasiwasi kwamba watanzania wengi wameshafanya maamizi -kuwarudisha nyuma inahitaji mkakati wa ziada sio propaganda alizotoa Dr Slaa. Kosa kubwa alilofanya Dr Slaa ni kujipambanua kama mamluki wa ccm. Hii inawauza zaidi upinzani zaidi ya kuwasaidia...
Mpuuzi huyu. Hao ndiyo watakao watoa ccm madarakani tena kwa hasira ya wewe kuwatukana. Mjipange upya kwa hoja na sio matusi.Lala manake ukiamka utamkuta Lowasa ikulu
Ukiona watu wanatumia jazba badala ya kujenga hoja ujue wameshashindwa. Naona wapenzi wa ccm tunatumia jazba kana kwamba tumeshashindwa. Tukubali tusikubali hii ni dakili njema kwa UKAWA.
Ukiona watu wanatumia jazba badala ya kuanfika hija ujue wameshashindwa. Naona wapenzi wa ccm tunatumia jazba kana kwamba tumeshashindwa. Tukubali tusikubali hii ni dakili njema kwa UKAWA.
Huu ni upotoshaji wa wazi wa ukweli. Ila ni kweli usio na shaka kwamba anaedhani kwamba masikini ndiyo anayefaa kuongoza nchi ni mjinga na amepitwa na wakati.
Ukichagua masikini si ndo mbaya sana mkuu. Tajiri haitaji kuiba tena ila kuwatumikia wananchi. Lowasa nadhani anafaa ukilinganisha wote wanaohitaji ccm. Na ccm wakikosea tu kumuweka mwingine UKAWA wamelamba dume. Kwa hiyo mjiandae kisaikolojia ama Lowasa au UKAWA kuongoza nchi.
Sijui ni lini Mungu atatukomboa kwenye lindi la ujinga na upumbavu. Hivi unapomchagua Ghasia kuwa mbunge alafu waziri kwa zaidi ya kipindi kimoja- utafiti unaitajika kujua kama watu wanaoanya hay maamuzi ni wazima wa akili au kuna nguvu ya ziada inatumika.
Who is not Fisadi ccm. The thread must be painful to you bacsauae ur father is one oftje beneficiaries of the current weak syste. You wouldn't like a strong person like Lowasa to come into power!! Pole!
Mfumo mbovu wa kupata viongizi na watendaji wazuri uliuwawa na uongozi wa sasa. Ndio maana most of incumbent wana uwezo mdogo katika kutekeleza majukumu yao. Dalili kubwa inaonekana hata wanapoadress public. Wanaongea vitu ambavyo ukitafakari unajiuliza hivi huyu kafikaje hapo. Uongo ndo...
Lowasa ni mtu wa dini anaependa kuona watu wanapata wanachostahili. Hukumu mnayompa ya matusi na tuhuma hakika mnajizolea dhambi. Hakimu wa kweli ni Mungu. Uvumilivu aliyokuwa nayo ni tuzo kutoka kwa Mungu. Ndio maana kwa sasa ukubali au ukatae ndiyo tumaini la wengi katika nafasi ya uraisi...
Hivi kweli eh! Sasa kwa nini tulimchagua? Hahaha watu wa nchi hii bwana wanapenda kulalamika-hata kama hakuna cha kulalamikia watalalamika kwanini hakuna cha kulalamikia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.