Search results

  1. mgaza2001

    Kituo cha mafuta nyuma ya TRA Samora

    NIMESHAENDA KUWEKA MAFUTA KWENYE KITUO HUSIKA HAPO JUU ZAID YA MARA 2, MAJIRA YA ASUBUHI ILA CHA KUSHANGAZA WANASEMA TRA MACHINE YA RISITI IMEHARIBIKA. MASHINE INAWEZAJE KUHARIBIKA WIKI NZIMA, TRA OFFICE IPO PEMBENI YAO KABISA. HICHO KITUO NI JIPU LENYE MDOMO KABISA.
  2. mgaza2001

    Network marketing - hey, there is new opportunity i wish to share with u, please contact me on inbox

    BRIEF; Four corners ni mtandao unauza vitabu vya financial success. ili waweze kuuza wanatumia system ya network marketing. ni kwamba wanashirikisha watu wengine katika kutafuta masoko. kwa wewe kujihusisha nao utalipwa na wao watapata faida. yani wewe kuwaletea wateja unalipwa. sasa ili mtu...
Back
Top Bottom