Kituo cha mafuta nyuma ya TRA Samora

mgaza2001

Member
May 5, 2010
96
29
NIMESHAENDA KUWEKA MAFUTA KWENYE KITUO HUSIKA HAPO JUU ZAID YA MARA 2, MAJIRA YA ASUBUHI ILA CHA KUSHANGAZA WANASEMA TRA MACHINE YA RISITI IMEHARIBIKA. MASHINE INAWEZAJE KUHARIBIKA WIKI NZIMA, TRA OFFICE IPO PEMBENI YAO KABISA.

HICHO KITUO NI JIPU LENYE MDOMO KABISA.
 
Bado reputation ya BP ipo vichwani mwa wengi lakini hivi tangu vilivyochukulia na hii kampuni hata usafi wa mafuta yao unatia shaka. ukisoma pia uzi ulioletwa hapa juu la likampuni lingine linalochakachua mafuta na kuyauza bila kuguswa, ndio maana nafuata ushauri wa mtu mmoja aliyesema kwa usalama wa gari lako Tanzania kwa sasa ukikosa TOTAL, basi jaribu GAPCO na kwa mbali ORXY.
 
Back
Top Bottom