Search results

  1. M

    YUKO wapi Dr Ulimboka Na mgomo wake...KAPOTEZA AJIRA?

    Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa
  2. M

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    big up man, maana watu wengine wanafikiri wote tuko sawa
  3. M

    Mshahara wa Assistant Lecturer..

    Lakini ukiangalia, most organization watu hawalipwi vizuri, ni mikopo na watu kujihangaisha huku na kule. Ukisema kwamba ni kidogo sanaaaaa, sikubaliani na wewe. Kuna watu wamesoma vizuri tu na si assistant lecturer ( or level ya masters) mishahara ni midogo tu.
  4. M

    Nipo njia ya panda, Japan..............dah!

    Nakushauri songa mbele na shule, sasa hvi degree moja ni kama form six, every one is having first degree, usijekujutia hiyo nafasi. Watu wengi tunatafuta scholarship
  5. M

    Natafuta kazi nimkimbie jk

    Pole, huwezi mkimbia huyo ana influence kote
  6. M

    Kulala uchi na mchumba wako bila sex wala romance kuna ubaya??

    Ni vibaya tena sana, kwa nini mfanye hivyo while nia yenu ni kutofanya sex. na kama mmelala uchi, there is no way msi fanye sex.
  7. M

    Msaada: Nahisi mtoto wangu ameathirika na Runinga

    Ohh Pole rafiki na hali hiyo. But unaweza ku mcontrol mapema, ni bado mdogo anaweza kubadilika. Samaki mkunje angali mbichi
Back
Top Bottom