Search results

  1. S

    Nafasi za kazi NSSF - October 2014

    unaweza kuta watu walishaanza na kazi!!!!!
  2. S

    She is not my standard

    hilo bomu,hawezi kung'ang'ania ndoa kiasi hicho,ukioa ndio zilee wageni ataotaka waje kwenu ni ndugu zake tu wakija wako atanuna
  3. S

    Utumishi kunani

    ndio uende mapema kabla ya tarehe za usaili ukaongee nao
  4. S

    Majibu usaili wa utumishi tarehe 11/10/2014

    mwisho 50 wakwanza wamepata 75(wapo kama wawili)
  5. S

    Usaili Utumishi, mnapimaje ubora wa mtu kwa maswali mawili?

    duuuu ile ilikua funga kazi ingawa ni topic inayofahamika ila sema ni vigumu mtu kufikiria kama maswali yangekuja ya aina ile!!! pia utumishi hawatabiriki writen interview nyingine wanatoa swali moja tu,ukishindwa ndio umeshindwa na ukipata ndio umepata!!!!!
  6. S

    Umuhimu wa cheti cha Kompyuta katika kuomba kazi za utumishi

    kufuata maelezo ya matangazo ya kazi ni muhimu,ukijaribu kuangalia matangazo ya kazi karibia yote wanahitaji cheti cha kompyuta,hivyo kama unacho uwe unaambatanisha kama huna tafuta maana computer training centre zipo kila kona siku hizi na kwa zile kazi wanazosema vyeti viwe certified hususan...
  7. S

    Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

    vijana wengi tunakua na mawazo ya kujiajri suala linakuja mitaji tutapata wapi? pia kuna baadhi ya NG'OS hapa nchini ambazo zinasema zipo kwa lengo la kusaidia vijana wajikwamue na umaskini na zinapata misaada kutoka mashirika ya nje lakini kinyume chake hiyo misaada haiwafikii walengwa,mfano...
  8. S

    Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    asante kwa ujumbe mzuri mdau,na nikweli point ya mwisho watu wengi tunapenda kuitumia tukidhani itaturahisishia kupata kazi kumbe inaweza kua point of weakness au kuwa faida kwa waajiri au matapeli wasio na nia nzuri,mimi mwenyewe hapa bado ni muhanga wa ajira
  9. S

    Nafasi za kazi NSSF - October 2014

    zile za operation officers ziliishia wapi?mbona wapo kimya?
  10. S

    Nafasi za Kazi; Mohammed Enterprises Tanzania Limited

    Akunyimae kazi sio lazima aseme nimekunyima,kwa experience hiyo ya miaka 10 au 15 ndio kunyimwa kwenyewe
  11. S

    Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    tehetetehteh wahenga walisema kua uyaone,sio maghorofa eti!!!!!!!mi "nasema maliza chuo uje kitaa" kama huna wakusukuma kimemo chako ofisi fulani utakeshaaaaa maana muda mwingine hata kazi ya laki2 point somethng kuipata ni mpk uunganishiwe.LAKINI SI KUKATISHANA TAMAA BAHATI YA MTU PIA INAWEZEKANA
  12. S

    Ajira JWTZ kwa wahitimu kidato cha nne ni lini?

    Jeshini wanaenda watu wa level zote za elimu,kwa upande wa kusoma ni kutokana na miaka hii kwani wasomi ni wengi hivyo form 4 kwa miaka hii ni kama darasa la saba,form 6 ni kama form 4,chuo(diploma & degree) ni kama form6,
  13. S

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    asante maana umenifumbua akili na mimi nilikua sijui viwango hivyo zaidi ya kusikia tu herufi mara TGSE MARA TGS D
  14. S

    Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Tuliotuma kwa email ya egotel tulirudishiwa majibu kuwa cv zimefika,wanazifanyia kazi kwa hiyo mtu unakua na uhakika kuwa cv yako imefika kwa wahusika,lakin email ya viettel mbona hakuna taarifa kama cv imefika ama laa,mi nmetuma lakini kimyaaaaa,bora mtupe hata matumaini kama zimefika
  15. S

    Twende Viettel

    Mi nilituma maombi lakini naona kimya wakati mlisisitiza tuendelee kutuma na kuwajulisha wengine,swali langu ni kwamba mtaendelea kuita watu waje kwenye interview au ndio mshafunga zoezi?
  16. S

    Sekretarieti ya ajira angalia kwa makini

    kuhusu passmark yao ni 50 lakini muda mwingine wanaangalia na ufaulu wa watu,kama watu wengi wapo juu ya50 huchukua maksi zilizo juu zaidi kama 70 kupanda juu,kuhusu kubebana sina uhakika zaidi ila watu wengi husema hivyo.
  17. S

    Wanawatapeli wanaotafuta kazi

    jaman ni kweli matapeli wapo kwenye ishu za ajira,inabidi mtu kuwa makini mi mwenyewe nimekutana nao lakini niliwagundua mapema maana walisema nitume ela ili HR apitishe jina langu nikawaambia nikipokea mshahara wa kwanza ndio nitawapa hiyo ela,hahahah baada ya hapo hawakunitafuta tena
  18. S

    TBS Call for interview update

    Nafikiri bado hawajatoa,maana wengi tuliomba
Back
Top Bottom