Human Rights
pitia hapo soma kazi zao zielewe, nenda kawatembelee ofisi zao za msaada wa sharia kindondoni na Arusha, waweza kuta kuna hata ndugu zako wameshawahi kusaidiwa kisheria tena bure.
tujifunze kutafiti kabla ya kuongea..."no research no right to speak"
ukitaka kujua Zaidi nenda pale...
Human Rights
pitia hapo soma kazi zao zielewe, nenda kawatembelee ofisi zao za msaada wa sheria kinondoni na Arusha, waweza kuta kuna hata ndugu zako wameshawahi kusaidiwa kisheria tena bure.
tujifunze kutafiti kabla ya kuongea..."no research no right to speak"
Human Rights
pitia hapo soma kazi zao zielewe, nenda kawatembelee ofisi zao za msaada wa sharia kindondoni na Arusha, waweza kuta kuna hata ndugu zako wameshawahi kusaidiwa kisheria tena bure.
tujifunze kutafiti kabla ya kuongea..."no research no right to speak"
Human Rights
pitia hapo soma kazi zao zielewe, nenda kawatembelee ofisi zao za msaada wa sharia kindondoni na Arusha, waweza kuta kuna hata ndugu zako wameshawahi kusaidiwa kisheria tena bure.
tujifunze kutafiti kabla ya kuongea..."no research no right to speak"
elimu ndogo na uwezo finyu ndio uliotufikisha hapa watanzania,
nnachojua mimi LHRC ni NGO inafanya pale inapoweza, inakemea, inashawishi na kushauri baas...utekelezaji ni wa jamii yote ukianza wewe, kupiga kelele na kuongea vitu usivyvijua haitufikishi popote, anza kwako wewe umeifanyia nini...
Watanzania wengi tumekuwa tukifuata mkumbo kulingana na vitu vinavyoendelea, mfano kuna mwaka Fulani tulikua wapenzi sana wa ndombolo mziki wa congo, tukaja kwenye Taifa stars tukaenda muvi za kinaijeria, tukapita kwenye taarabu (Enzi za nasma hami na hadija kopa) tukaenda bongo fleva, tukaja...
Pata na Toa Taarifa mbalimbali za Uchaguzi mdogo Tanzania hapa. ingia hapa hawa jamaa wapo nchi nzima kutoa na kupokea taarifa mbalimbali.
https://www.facebook.com/chaguzitanzania?ref=hl
https://twitter.com/ChaguziTanzania
hi guys... kama ntapata ripoti ya jaji mark bomani kuhusu madini itakua ni kitu kizuri kwa kuanzia kulitathmini bunge lililopita na utekelezaji wake.. kwa yeyote mwenye copy ya ile ripoti i would appreciate kama ataipost humu
Habari zenu wana jamii,,,
Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza ku post maoni yangu laikini ngoja niseme tu nione wadau mnalionaje hili.
Wana CCM mtanisamehe though.
Kuna haka kamtindo kameanza kama wiki moja hivi imepita, hawa CCM wameanza ku-invade privacy ya watu sasa kwa kutumia sias zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.