Search results

  1. Ahmed Saleh

    Natafuta bata mzinga wa kufuga, nikipata jike na dume itakuwa vizuri

    Huyu mzee yupo jet anao wengi sana 0754675243
  2. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Tatizo watu hawana ustarabu.......unatoa contact mtu anasumbuliwa tu.....!
  3. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Wakuu ahsanteni sana, nishapata kuchi safiiiii kwa anaotaka ani pm nimpe contact wape anaeza pata !
  4. Ahmed Saleh

    Nitawaletea Mwanaharamu wa Kuchi

    Malila mkuu 2wasiliane wakifika !
  5. Ahmed Saleh

    Utando mweupe katika miti ya michungwa na mapapai!

    Wanaitwa white flies ! Google utapata jibu !
  6. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Mkuu atakosa sifa mmoja au mbili kama nilivoziainisha hapo juu !
  7. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Mkuu Malila is it a fact wapo au ni tetesi ! Coz Mafia syo mbali !
  8. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Mkuu, nikimpata Kuchi ntamuweka hapa ! Wana midomo mifupi,shingo refu,miguu mirefu kwa ujumla ni warefu, kisha mostly wanamikia flat kama ya ndege na siyo ^ kama kuku wengi wa kienyeji ! Ni hayo baadhi !
  9. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Hornet we ntaftie tuu wala usjali ! Mi Iramba nyumbani nimesema hvo kutokana na sources zangu nyingi kushindwa kudeliver to my expectations!
  10. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Ahsante mkuu kwa wasaha wako bt wengi wanaouza vifaranga vya kuchi in chotara ----si chotara tu bali ni chotara wa chotara.
  11. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Ahsante kwa ushauri mkuu, Singida hasaa wilaya ya Iramba kuku wameadimika sana kaka ! Ila connection ya Tabora sina ntajaribu kufollow up !
  12. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Mkuu chotara wapo wengi mjini najua na mimi nnao bt ili kupata mbegu nzuri inabidi upate pure breed ili wakibreed unapata both pure na chotara ndugu !
  13. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Habari wadau ! Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, Natafuta kuchi wa mbegu kama ni Jogoo au Tetea ! Natanguliza shukraan wadau mwenye nae au mtonyo tuwasiliane kwa P.M. Ahsanteni sana N.B: - Bei iwe reasonable sio za kusadikika. - Nipo Dar - Biashara iwe cash basis a.k.a Man to man.
  14. Ahmed Saleh

    Natafuta mashamba na viwanja kwa Dar na Pwani vya bei poa

    Mashamba kisarawe eka mpk 80,000/= (mapori subject to clearance) if interested halla @ me ! Mashamba kuanzia eka laki 4 mpk 1 mil !
  15. Ahmed Saleh

    Kuku aina ya Kenbro

    can i get the chicks in dar ! will pay upon receipt (kenbro,malawi,australia,dorep) ! If it's possible PM pls ! Thanks
  16. Ahmed Saleh

    Majogoo wa kienyeji, kanga weupe, bata mzinga - Dar es Salaam

    Namba haipatikani mkubwa..........umetupa namba ya gari !!
  17. Ahmed Saleh

    Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

    Sungura wadogo hufa kwa sababu kuu zifuatazo :- 1. Usiwaweke sungura wadogo na sungura dume,,huwa kuna tabia ya sungura dume kuua watoto madume ili kuepuka vita vya kupigania majike wakikua. 2.Inawezekana sungura wako ume wa overpopulate meaning sehemu ndogo umeweka sungura wengi including...
  18. Ahmed Saleh

    Nisaidie nahitaji maboksi ya kufungashia bidhaa nitapata wapi ?

    Nenda mtaa wa morogoro na ule wa Mosque street--Nyuma ya msikiti wa Ibadhi utapata !!!
Back
Top Bottom