Search results

  1. Wonderland Management

    Wosia kwa wana ukawa na tanzania

    Mtu yeyote anaye onekana ana penda sana kwenda Ikulu Na yuko radhi hata kuhonga ili aingie Ikulu, ni Wa Kuogopa kama UKOMA. Ame zipata wapi hizo fedha. WaTanzania Hawa masikini hawa. Ikulu ni mahala patakatifu. Aliye kuambia Ikulu kuna biashara kule NANI??? Mna hangaika mpaka kuhama vyama...
  2. Wonderland Management

    Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

    CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
  3. Wonderland Management

    Nyie waswahili

    Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?
Back
Top Bottom