Search results

  1. Mtz wa kweli

    Magufuli ashughulike DECI ya foreverliving, haina tija kwa taifa

    Hakuna kitu kibaya kama uvivu wa kufikiri Na uvivu wa kufanya Kazi, we ukiambiwa utapata pesa burebure ndo una kimbilia kwa sababu ya uvivu wako, ukikosa unatoa povu mdomoni wewe kaa tu udhani pesa utaipata kwa rushwa ama wizi, utaishia majungu maana huijui hao Forever wanakuchangia sh ngapi...
  2. Mtz wa kweli

    Magufuli ashughulike DECI ya foreverliving, haina tija kwa taifa

    Kama mtu umeshindwa kufanya network marketing kwa uvivu wako tulia wenzako wafanikiwe. Naungana Na mdau waafrika wengi mnapenda kufanikiwa bila jasho haiwezekani, Na safari hii Magufuli atabana mianya yoote mtajuta kumfahamu.
  3. Mtz wa kweli

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Badilikeni Leo tumekaa ATM za Mbalizi road ambapo ndiyo zonal office 2hours mashine inatoa mojatu. Halafu ni mwisho wa mwezi.
  4. Mtz wa kweli

    Uzi Maalumu: Wafanyakazi wa Benki (wanachokijua, changamoto za kazi yao na nafasi yao kijamii)

    Nimefanya Kazi miaka 5 Benk A sasa hivi nalima Nyanya nimeacha Feb, kupotezeana future tu.
  5. Mtz wa kweli

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Kuna watu humu mnajifanya mna majibu ya kila kitu ukikaa kimya kama hujui pia ni uungwana, watu wauliza ili wajibiwe kwa mujibu wa sheria Na taratibu , baraza LA mawazili lilivunjwa au la?
  6. Mtz wa kweli

    Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

    Poke sana ndio maana nilikwambia mapema ulikosa mwongozo Na sasa tunapoongea Dawa ya meno ni 17,000 Na kwa kuwa tunauza ubora wa bidhaa baada ya kuwafahamisha watu madhara ya Fluoride wanatupigia simu wananunua tu juice sasa hivi ni elfu 55,000
  7. Mtz wa kweli

    Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

    Maana wengine walidhani Forever ni DESI unapanda usubiri kuvuna, bila kujituma Forever utakimbia au hukupata kiongozi mzuri
  8. Mtz wa kweli

    Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

    Ulikuwaje au uliingia kichwa kichwa ukataja ulipwe bila kufanya Kazi Ndugu????
  9. Mtz wa kweli

    Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

    Ndugu yangu kujenga kwa pesa hiyo utasubiri saana labda uwe mwizi. Nakushauri jifunze biashara ya mtandao au network marketing, mtaji ni mdogo lakini utafundishwa ukiwa serious baada ya miaka isiyozidi mitano utajenga nyumba yako. Nicheki watsap 0767211457 nikupe Maelezo ya kina.
  10. Mtz wa kweli

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Maajabu mengine, iongezwe ktk maajabu saga ya dunia
  11. Mtz wa kweli

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Mwaka huu tutaona maigizo, na ngonjera za kila dizaini.
  12. Mtz wa kweli

    Ripoti ya kikao cha suluhu kati ya Dk. Slaa na Mbowe

    Mkuu uanze kuandika riwaya mama Shigongo utauza, ndoroooobo we (in mangi's voice )
  13. Mtz wa kweli

    CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

    Kwani we nani???
  14. Mtz wa kweli

    CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

    Kwa kweli unavyoviona wewe ni mawenge mi siwezi ona
  15. Mtz wa kweli

    CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

    Hakuna Jack Bauer mnafiki dizaini yako
Back
Top Bottom