Search results

  1. J

    Maskini hawezi kumtetea Maskini mwenzake hivyo tuwaunge mkono Makonda, Lisu na Mbowe japo ni Matajiri lakini Wanawajali Wanyonge!

    Duniani kote hakunaga maskini wanaoteteana kwa sababu Sauti yao iko chini sana haipai kufika Juu Hivyo ni mabilionea hawa hawa ambao wachache wao Mungu wa Mbinguni amewabarikia UTU ndio hujilipua na kuwatetea maskini na Wanyonge Hima tumuunge mkono Komredi Makonda, tumuunge mkono Freeman Mbowe...
  2. J

    Enzi za Nyerere Leo ni Lazima kwenda Uwanja wa Uhuru kwenye Sikukuu ya Muungano ila siku hizi ni Walimu na Wajeshi!

    Mfumo wa vyama vingi umeongeza Demokrasia na kupunguza Uzalendo Kwa mfano Leo Chadema badala ya kusherehekea Miaka 60 ya Muungano wao Wanaandamana mikoani kupinga Kikokotoo Uzalendo unatoweka Jumaa Mubarak ๐Ÿ˜€
  3. J

    Hatimaye Tundu Lissu arejea nchini tayari kwa Maandamano, avuka Namanga na kupokelewa kwa bashasha Arusha!

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu ameingua Mjini Arusha tayari kuongoza Maandamano yatakayoanzia Manyara Lissu ameingilia mpakani Namanga Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
  4. J

    Daraja la Salender laanza kumong'onyolewa na Mafuriko, Magufuli aliona mbali kutujengea Daraja la Tanzanite!

    ITV wameripoti Sehemu ya barabara Darajani Salender imeanza kumomonyoka kufuatia mvua zinazoendelea kuonyesha Nawasihi Sana Tanroads wafanye haraka kurekebisha pale darajani Mlale Unono ๐Ÿ˜ƒ
  5. J

    Boniface Jacob na G Malisa wapelekwa kwa Kamanda Muliro kwa mahojiano

    Baada ya kuripoti kwa RPC Kinondoni watuhumiwa Boniface Jacob na G Malisa wamepelekwa kwa Kamanda wa Kanda maalum ya DSM afande Muliro kwa mahojiano Source: Mwananchi
  6. J

    Serikali yatoa Tsh. 66 billion Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara...
  7. J

    Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

    Ni Simba SC imetafutiwa faraja na sasa itakuwa bingwa wa Muungano kwa mashindano ya Mechi mbili tu Ni Tanzania pekee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
  8. J

    Mbowe: Nchi hii imejaa Wanaume wa Hovyo, Wanaume Wapambe!

    Kauli ya Mbowe inanikumbusha Swali la Mungu wa Mbinguni na Majibu ya Adam pale Eden Mungu: Adam kwanini umekula tunda nililokukataza usile Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa ndio amenidanganya nikala Kwahiyo mh Mbowe uelewe Dunia nzima imejaa Wanaume unaowasema Mbarikiwe sana ๐Ÿผ
  9. J

    Yawezekana Miundombinu ya DSM ni Bora kuliko ya Nairobi Mafuriko yamedhihirisha hilo, tunaishukuru CCM na Rais Samia

    DSM mvua kubwa sana inaonyesha Lakini madhara yanadhibitiwa na hakuna Vifo Nairobi kwa Siku ya Jana tu Mafuriko yameuwa Watu 49 na makazi zaidi ya 10000 kuzolewa na Mafuriko Hongera RC Chalamila kwa usimamizi Mzuri ๐Ÿ˜€
  10. J

    Mbunge Mohamed Issa: Ajira za Wazanzibar zimechukuliwa na Wageni

    Mbunge wa Konde ( ACT Wazalendo) Mohamed Issa amelalamika bungeni Ajira za Wazanzibar kuchukuliwa na wageni Mohamed Issa amesema ni uonevu mkubwa Wazanzibar kuporwa Ajira Zao. Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ --- Kwa pale Zanzibar mimi naamini Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa ni mtu mwenye akili ya hali ya...
  11. J

    CHADEMA Nyasa tunaomba Mdahalo kati ya Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mchungaji Msigwa uwe Mubashara ITV

    Kwanza niwapongeze Sugu na Mchungaji Msigwa kwa kukubali kukabiliana kimdahalo Sisi wapenda Demokrasia ya kweli tunaomba Mdahalo huo uwe live Runingani kama Kenya Mlale Unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ
  12. J

    Familia ya marehemu Robert Mushi imetoa Shukrani kwa Umma wa Watanzania kwa kupaza sauti Kwenye Mitandao ya Kijamii!

    Familia ya marehemu Robert Mushi imetoa Shukrani kwa Umma wa Watanzania kwa kupaza sauti Kwenye Mitandao ya Kijamii ina kufanikisha na kufanikiwa kuuona mwili wa ndugu yao aliyepotea ghafla Source: Mwananchi Pia soma - Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob...
  13. J

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Kuna mambo Mawili muhimu sana, Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi. Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi...
  14. J

    ACT Wazalendo waenda Rufiji na Lundo la Misaada, Mkuu wa Wilaya awashukuru!

    Kiongozi wa Chama Cha ACT wazalendo na Wajumbe wa kamati kuu wamefika wilayani Rufiji na kutoa misaada mbalimbali kwa Wahanga wa mafuriko Mkuu wa Wilaya Meja Edward Gowelle amewashukuru sana na kuwaambia Wao ndio Chama halisi Cha siasa Source: ITV Habari Mlale Unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
  15. J

    Wabunge kutoka Zanzibar wamtoa Jasho Waziri Jaffo kuhusu KERO za Muungano, CCM na ACT waungana kumsulubu!

    Leo Wabunge wa Zanzibar wamenifurahisha kwa namna wanavyoweza Kuwa Wamoja kwenye kutetea Maslahi ya Visiwa vyao Wabunge hao wamemwambia Waziri Jaffo wanapitisha Bajeti yake lakini ahakikisha kero 22 za Muungano anazimaliza, Waziri amekubali Source: ITV
  16. J

    Matajiri wa Tanzania vichekesho vitupu yaani Mbweni Maji ya mvua kila mahali, askofu Dr Gwajima likufikie hili ni Jimbo lako!

    Kiukweli Oysterbay itabaki Kuwa Oysterbay tu japo wengine wanadai Mbweni ndio mbadala wa Makazi ya Viongozi wa Serikali waliokuwa wanaishi huko Barabara ni Lami tupu lakini Maji ya mvua yametapakaa hovyo tu, yaani Hata gemu ya Wananchi na Wajeda imeahirishwa Uwanja umejaa Maji RC Chalamila Dar...
  17. J

    Mbowe akatae yeye kwanza kusifiwa ni Mwamba ndio atoe Ushauri kwa Rais Samia Kuwa akatae Sifa za Uwongo!

    Ni Ushauri tu Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema? Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Sipingi Ushauri wa Freeman ila namshauri ajitafakari yeye kwanza...
  18. J

    Dar: Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko

    Mlioko Mjini tujuzeni hali ya mvua huko niko Ubungo nakuja town Ni hilo tu Mbarikiwe! ====== TAARIFA KWA UMMA YAH: Kufungwa kwa Njia. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART unawaarifu watumiaji wa mabasi ya Mfumo wa DART kuwa leo, Aprili 23, 2024, Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na...
  19. J

    Dkt. Nchimbi: Wapinzani wanafanya kazi yao vizuri sana, mkiwapa kazi nyingine itawashinda

    Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema hadi sasa wapinzani Wanafanya kazi nzuri MNO na mkisema muwape kazi nyingine itawashinda hivyo CCM iachwe Iendelee Kuongoza taifa Nchimbi amesema Mtu hufanya vizuri Kazi aliyoizoea mfano Chadema ni kama fundi Cherehani wa miaka zaidi ya 30 kwahiyo kushona...
  20. J

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gerald Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema Source: WASAFI FM Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Back
Top Bottom