Jamani usiombe kufika mahakamani, sitosahau siku ambayo Hakimu namwambia ushahidi ninao.cha ajabu hakutaka kunisikiliza, mwisho wa siku mwizi ndio kapewa ushindi.jamani hali ni mbaya.
Wanajamii wenzangu,mimi sikushangaa kumuona mh.rais anampa makavu makonda,kila siku tunasema viongozi wengi serikarini hawana ubunifu,hayo ndio matokeo yake.suala la kutafuta mashine ya kunyonya maji hadi aje raisi akwambie kweli????.wao wanachokijua kila siku ni mipango mikakati tuuuu,saa hizi...
Leo hii raisi wa kenya amewasimamisha kazi wa kuu wa chombo kinacho simamia udhibiti wa ufisadi pale nchini kenya,yaani mwenyekiti na makamu wake.Sababu kuu ni moja tu,wameshindwa kuwajibika ipasavyo kupambana na ukosefu wa maadili na kukithiri kwa ufisadi kenya.swali? hapa tz tatizo lipo...
Nasema hivi,iwe jua au mvua lowassa ndio rais mtarajiwa,mnamfahamu vizuri utendaji wake,hana mchezo wala undugu kwenye kazi,mnaanza mchecheto mapema hivi,kazi mnayo,jamani kama unajijua ni mvivu huko serikarini tafuta njia ya kuchomoka mapema.ccm oyeeeee!!
Wanajamii wenzangu,
Naomba kuchukua fursa hii kufikisha ujumbe kwa mkuu wa wilaya ya Temeke, mh. Sophia Mjema ajaribu kuwatolea ukali manispaa ya Temeke kusimamia usafi wa mitaro ya hapa Mbagala Rangi Tatu, kando ya barabara karibu na kituo cha daladala. Hali ni mbaya sana na harufu ndio balaa...
mkuu upo sawa kabisa,channel ten ni hovyo kabisa,hasa hawa watangazaji wafuatao-musa kipanya,moses mutente,said kilumanga na ezekiel mwambopo wamedandia fani za watu,hawana sifa za kuwa watangazaji.
Ndugu zangu,tatizo la kukosekana ubunifu serikarini haya ndio madhara yake,tunalo shirika letu la TTCL.kama viongozi wangekuwa vizuri,leo hii tusingekuwa tunateseka na haya makampuni ya kitapeli.kila leo wanaweka gharama wanazotaka wao.please mh.january makamba fumua management ya TTCL.weka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.