Search results

  1. O

    Tabora mjini mabomu yanalindima mda huu

    Wananchi wa Tabora njiani wamezingira kituo cha kutangazia matokeo huku wakimtaka msimamizi kumtangaza haraka mshindi ambaye wanadai ni bwana Peter Mkufya kupitia CUF Kashinda July wakiogopa kuwa CCM wanataka kuhujumu matokeo baada ya mgombea wa CCM kudaiwa kugomea matokeo, ndipo jeshi la...
  2. O

    Ujio wa lowassa mbeya

    wajavi habar,tunaomba kujua mh Rais mtarajiwa Endwad Lowassa atafanya mkutano lini hapa mbeya mjini,tulijua Leo jumamos,lakin nasikia ratiba imebadirika ,naomba asaidie anae jua,maana mbeya tumemusi
  3. O

    CUF yatumia UKAWA kufanya mkutano wake - Tabora

    Chama cha CUF kimepita mtaani kikitangaza kuwa kutakuwa na mkutano wa UKAWW leo Jumapili saa 10. Nimefika mapema nikakuta bendera za CUF na maneno haki yakitawala pale. Naomba nisaidiwe kama ni sahihi kutumia UKAWA kuitisha mkutano. Sina nia mbaya ila nataka kujua makumbaliano ya UKAWA...
  4. O

    CHADEMA tawi la SAUT-Tabora yameguka baada ya vijana 89 kutimukia CCM

    Vijana 89 kutoka tawi la SAUT Tabora wamehama CHADEMA,mbele ya katibu mkuu wa CCM taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makini tawala CCM na katibu mkuu Kinana katika mkutano wa hadhara hapa Tabora Mjini Jumapili iliyopita.Hii ni ishara ya mwisho wa CHADEMA...
Back
Top Bottom