Search results

  1. realoctopus

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Na imeandikwa usiabudu chochote kilicho umbwa mbinguni au ardhini ila Mungu pekee
  2. realoctopus

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Kiufupi,CARHOLIC ni waabudu mashetani.
  3. realoctopus

    Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

    Usiandike kiingereza tena aisee. Hukijui.
  4. realoctopus

    MHE. RAIS KWA HILI LA KARIAKOO ANZA NA WAZIRI WA FEDHA

    Mwigulu anajifanya ni genius sana,na anadharau sana. Nakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu,kulikuwa na mijadala kadha wa kadha kuhusu marekebisho ya Kodi,wafanyabiashara wakaitwa na kutoa maomi yao,mwigulu kayatupa jalalani. Kulikuwa na haja gani ya kuitisha kikao Cha wafanya biashara huku mkinua...
  5. realoctopus

    Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

    Sasa kama IQ ni ndogo,unadhani utamuelewa? Kwenye uongozi wameingia ki chawi uwezo hawana wa kawaida
  6. realoctopus

    Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kipara ndio alikuwa ikulu ndani,lazima yeye ndio alikuwa anampelekea WACHAWI na kuzika makondoo
  7. realoctopus

    NMB Bank huu upuuzi siutaki

    Wapumbavu hao sana asee,pesa ikibaki kidogo kwenye account wanaipambania iwe yao waile Hadi iishe. Waizi sana,makato makubwa
  8. realoctopus

    Raia Mwema: Kampuni ya Yono yapigwa stop kuuza mali za Musiba

    Kwa hiyo itapigwa counter affidavits/attack?
  9. realoctopus

    Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

    Unaliliapicha sana,unataka uone nini? Au ndio hamasa unatafutia hapa kwenyepicha?
  10. realoctopus

    Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

    Ngoja tumwambie unataka Salam ya kiislam na sio vinginevyo. Ila na mi nakuonya kwamba unaelekea kwenye udini. Wewe ni mdini hatari sana.
  11. realoctopus

    Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

    Usodoma na ugomora ndio unaingia Sasa Kwa nguvu.
  12. realoctopus

    Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

    Kwa mahitaji ya kifedha TALA iko poa,maana itakusaidia pale ulipo banwa. Ila kimaswala ya faragha sahau,pindi tuu uombapo mkopo na ukatii masharti yao,basi jua kuwa huna faragha/siri tena. Na pia endapo utafanya makosa ya kimitandao uko hatarini kunaswa kama kuku. NI HATARI KUJIUNGA TALA,ila...
Back
Top Bottom