Search results

  1. K

    Ushauri,Kuhudhuria Interview PPF

    Pima na utafakali kwa makini, hizi kazi za PPF zinawatu, wameita tu kwa ajiri ya kutimiza sheria. Shikilia panapoeleweka usije ukakosa pote.
  2. K

    http://JobandPay.com/?id=114308

    Kaka fedha zisizokuwa na jasho mwisho wake huwa ni kulizwa, achana nao hao. hakuna jipya hapo. kimbiaaaaaaaa kaka.
  3. K

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Wewe jifunze kufikili, Kama serikali yenyewe imeamua kuchukua uhamuzi mgumu, iweje wewe utetee. Nahisi na wewe umo kwenye hiyo list. Imekula kwako.
  4. K

    Jamaan mwenye taarifa kuhusu TRA

    kama ingekuwa hivyo, kungekuwa na umuhimu gani wa serikali kutangaza nafasi mbali mbali katika kitengo cha mapato.Acha kukatisha watu tamaa weye.
  5. K

    Wakuu naombeni kama kuna mtu anajua lolote kuhus TRA

    Wewe Kijana mbona una coment kitu ambacho hauna uhakika nacho,Ni kwamba subilieni majina yenu yatatoka baada ya kumaliza kuchagua watu wenye vigezo. Kazi hii sio nyepesi kama mnavyodhani , kwa sababu sifa za watu sinakaribiana sana. Tafadhari! Tunaomba msituchafulie heshima yetu. Tunafanya...
  6. K

    Updates on Oral Interview PPF

    Pia ningependa kupata update ya interview ya written ya ppf kwa tuliofanya jumamosi hii pale DUCE, kwa mwenye Update yeyote ninaomba nijuzwe.
  7. K

    Nimetumiwa hii sms, nisaidieni

    Use your common sense, Kampuni gani sasa hivi ikatumia e-mail ya yahoo,Wanataka kukuibia tu hao.Stuka.
  8. K

    Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye interviewkupitia mtandao wa Zoom

    Mimi pia niliona kazi kupitia zoom na jamii forum, Nikafuatilia Source , Nikatuma. Baada ya hapo nikaitwa kwenye interview na Katika Interview kulikuwa na People kama 700 hivi, 90% kati yao Walifanya Application Kupitia Zoom Tanzania. Nakushauri usikate Tamaa, Rekebisha CV yako ili ikae ki...
  9. K

    Advance Bank na Mishahara Yao

    kama umechaguliwa katika timu ya Advance bank Tanzania, Jiandae kwa training ya miezi mitatu, na utakuwa ukipewa posho ya shilling 50,000 kila week kwa muda wote wa training, baada ya kumaliza vizuri training, utapewa mkataba wa miezi sita under probation,Kwa kipindi cha probation utakuwa...
Back
Top Bottom