Search results

  1. S

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Wamarekani watawashangaa na kuwadharau.maandamano mnayafanyia ughaibuni mnajiona wanaume.njooni bongo kama mko wazalendo kweli.mnatuhamasisha kumwaga damu kukataa hali ngumu ya maisha wakati huko mliko nako ni vilevile.anzen jumpinga obama ndo mje kwa kikwete.
  2. S

    Wananchi washangazwa na udikiteta unaofanywa na viongozi wa CHADEMA

    Hivi nikirudi kwa wananchi huko mitaani niwaambie nini hasa?.Mbona siwaelewi?.Huu udikiteta unaofanywa na viongozi wetu wa CHADEMA kumbe baadhi ya wanachama wameambukizwa ugonjwa huu.Ni mtu mmoja tu aliyethubutu kujikita kwenye mada, wengine wamefungwa minyororo ya kiitikadi.Yaani wao ni kutetea...
  3. S

    Wananchi washangazwa na udikiteta unaofanywa na viongozi wa CHADEMA

    Wanajamvi nimesubiri watu wa kujikita kwenye MADA amejitokeza mmoja tu.Wengi wao ni kuponda sasa nikirudi mtaani wananchi niwaambie nini zaidi ya kukitosa kabisa chama chao CHADEMA?.Udikiteta wanaozungumzia wananchi ndio naona umewatawala wapenzi wengi wa chama hiki ambacho namimi nilikuwa...
  4. S

    Wananchi washangazwa na udikiteta unaofanywa na viongozi wa CHADEMA

    Wanajamvi ni vyema tukajikita kwenye hoja za wananchi na tusipambane na mtoa mada.Mimi nimewasilisha malalamiko ya wananchi ambao nimekuwanikisikia wakiyatoa dhidi ya CHADEMA.Nimekuwa nikiwasikia mitaani na kuyachukua nikayamwaga hapa jukwaani jinsi yalivyo.Tusipuuze hoja zao kama tunakitakia...
  5. S

    Wananchi washangazwa na udikiteta unaofanywa na viongozi wa CHADEMA

    Huku mitaani wananchi wameduwazwa na udikiteta unaoendelezwa na uongozi wa juu ndani ya chama hicho.Wamekuwa wakijiuliza iweje kila jambo viongozi watake kulitolea uamuzi?.Wananchi hapa mtaani wamekasirishwa na kitendo cha katibu wa CHADEMA kuonyesha usaliti wa demokrasia kwani amekuwa akihubiri...
  6. S

    Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

    Nape anafaa kupongezwa.Ni kijana ambaye anaonesha ukomavu wa kisiasa na ameweza kwa kiasi kikubwa sana kurudisha matumaini ya watanzania waliowengi kwa CCM.Haendeshwi kwa itikadi bali anawatetea watanzania wote masikini wa nchi hii.Viva Nape.
  7. S

    Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

    Nape anafaa kupongezwa.Ni kijana ambaye anaonesha ukomavu wa kisiasa na ameweza kwa kiasi kikubwa sana kurudisha matumaini ya watanzania waliowengi kwa CCM.Haendeshwi kwa itikadi bali anawatetea watanzania wote masikini wa nchi hii.Viva Nape.
  8. S

    Ufisadi wa Nape huu hapa

    Hongera Nape kwa kuacha u-Dc mara baada ya kuwa Katibu wa itikadi wa CCM.Umetoa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi hapa nchini.Mungu akubariki sana.
  9. S

    Ufisadi wa Nape huu hapa

    Mtoa mada amekaa kiushabiki sana na anatuletea mada ambazo hazina utafiti wowote ule.Msituletee majungu hapa jamvini.Nape ni kijana shupavu ambaye anastahili kupongezwa na wasio wanafiki. Nape anastahili kuigwa na vijana wengine wa kitanzania kwa kuamini katika ukweli na anausimamia kwa...
  10. S

    Kwa wana ccm tu: Nani anafaa kuwa contenstant wa dr.slaa in 2015 election?

    Nani aliyejua mwaka 1995 angeibuka mkapa na kuwa rais wa nchi hii?.ninahakika wapo wengi tu watakaoibuka wakati ukifika na kuwa rais.muda bado mwingi sana ndugu zangu.miaka 4 iliobaki sio haba yaweza mimi siraji nikaibuka na kuwa kipenzi cha watanzania ghafla na kupewa urais.la msingi tujadili...
  11. S

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    atafanya uamuzi wa busara na ni ukomavu wa kisiasa kama atafanya hivyo.
  12. S

    Vitambulisho Malaysia 'vyawakuna' wabunge

    suala la vitambulisho vya uraia ni muhimu kuliko tunavyolifikiria au kulifahamau.naona serikali inachelewa sana katika hili.tunaomba iwahi sana ili mwaka ujao wa fedha tujitegemee ktk bajeti yetu na tusahau kuwategemea wadadhili.chondechonde serikali wahi kutupa vitambulisho hivyo tuokoe nchi...
  13. S

    Mwanahalisi imeandika kweli kuhusu hii ya Kikwete na Mkapa? Tuijadili

    jakaya kikwete lazima aende na wakati na ndivyo anavyofanya.mwanahalisi hawamtakii mema kwani jk kuwasiliana mara kwa mara na wapiga kura wake ni dhambi?.acheni unafiki
  14. S

    Nape aandaa waraka wa kuwakana CCM

    ninanvyofahamu na imekuwa ikirudiwarudiwa na katibu mukama na kamanda mwenyewe nape.watu wale walipewa siku 120 na sio 90 na kama wakishindwa kuwajibika wao wenyewe halmashauri kuu ya ccm itawawajibisha.na nape mwenyewe amekuwa akikanusha juu ya siku 90.hivyo tusubiri muda bado.
  15. S

    Lissu amlima barua Shibuda

    chadema ni chama ambacho kinaamini juu ya uhuru wa maoni na kimekuwa kikiupigania.ninashangaa mh. Shibuda kuandamwa na chama chake juu ya maoni yake alioyatoa bungeni.hii inaleta shaka juu ya umakini wa chama hiki na inaonesha kuwa chadema kinaigiza juu ya kujivika gamba la uetezi wa haki na...
  16. S

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    kujiuzulu sio suluhisho.suluhisho ni bunge kukaa na kufuta sheria hiyo inayoruhusu kupokea posho.waziri mkuu kazi yake anasimamia sheria zilizopo na zitto ndio kazi yake pia.hivyo wakwanza kujiuzulu inabidi awe ni zitto kwa kutosimamia sheria zilizotungwa na bunge.au auambie umma wa watanzania...
  17. S

    Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio

    Upinzani wa Tanzania ni feki na upo kwa maslahi binafsi sio ya umma.Anawafahamu siasa zao zisivyo za maendeleo bali kutaka madaraka tu kwa njia zozote zile.Hivyo serikali ya Marekani na Clinton inajua fika upinzani wa kweli haupo bali upo katika nadharia.Marekani inaonekana kuwa na imani kubwa...
  18. S

    Nape na posho za Wabunge

    ya zitto ni kutafuta umaarufu usio na maana yoyote ile.kilichonishangaza ni kwa yeye kuamua kuachana na posho za bunge at the same time anaamrisha posho hiyo aliyoikataa ippelekwe jimboni kwake ktk taasisi ambayo huenda ameianzisha yeye na huenda katibu wa taasisi hiyo ni ndugu yake.hivyo kwa...
  19. S

    Wabunge CCM waagizwa kuitetea bajeti kufa na kupona

    tatizo ninaloliona ni wapinzani kukariri kupinga tu.siku zote hawaoneshi solution ya matatizo yetu.pale wanapoonyesha huwa solutions hizo sio compatible hata kidogo.
  20. S

    Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

    nilisema watarudi wengi tu na bado maana nape hajawatembelea msoma.nyanza kazungumza ukweli tatizo la chama chetu cdm ni kuongozwa kama mali ya mtu na muda mwingine kuendeshwa kama kundi la watu fulani hivi kutoka kaskazini.hili litatufanya tuendelee kuhama chama hiki na tunamuomba nape aje huku...
Back
Top Bottom