Search results

  1. hassan mdidi

    Aircraft Maintanance

    habari wanajamvi? napenda chukua fursa hii katika kutoa elimu juu ya masuala ya vyombo vya anga niulize swali lolote kuhusiana na plane's engines na utendaji kazi wake asante nawakilisha hoja
  2. hassan mdidi

    Serikali kupoteza vipaji na wabunifu

    habar wa jf leo nimeptia gazeti la mwananchi nlilichokiona ni kwamba TCAA kufungia wabunifu wa vyombo vya anga tz my take; kwann serikali inapoteza vipaj kama hivi bila kusaidiwa? tatizo watz tunatumia sana theories kuliko practical hii ndo tatizo bila ya kujiongeza mbunifu ana design ndege...
  3. hassan mdidi

    Ushauri kwa Diploma Holders pekee

    Habar wana jf, Ningependa kuchukua fursa hii kuwajulisha kwa wale diploma holders wenye lengo la kutaka kuendelea na higher education ktk chuo cha UDSM sifa stahiki zinahitajika na kwa wale wasio na hizo sifa nibora wakaangalia vyuo vingine. Hizi ndizo sifa stahiki {1}uwe na credit pass3 &...
  4. hassan mdidi

    Ushauri kwa wanaoingia chuo mwaka 2016

    habarin wana jf nimeona nitoe ushauri kwa wanafunz wa new entry mwaka 2016/2017 {1}wasichague chuo kwa kufuata mkumbo {2}wasichague koz hafifu {3}wachague koz zenye fulsa za kujiajir na kuajiliwa
Back
Top Bottom