Search results

  1. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna wachezaji ukijaribu kuwakubali unakumbuka drama zao moyo unarudi nyuma. Jorginho. First leg against Spurs. Sasa hivi city hashindi kwaajili ya points 3 anashinda kwaajili ya points na GD. Blueprint ya kumstopisha site ni same na ya kumstopisha Arsenal. For ages liva akabebwa na late...
  2. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Zamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes. Kisha wakamfananisha na Arteta. Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
  3. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na nikawambia ni rahisi kushindana na liva kuliko city. Tumtoe kafara flano ili city asikae juu. Mkagoma. Matokeo yake city akawa juu, flano yupo hai anatupigia kelele
  4. Castr

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    1 inakua kama huku tu
  5. Castr

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Anajisifia kununua malaya. Kisha akaanza kulipa child support Na bado anamlipa tena. This guy amejigeuza kua mteja wa kudumu
  6. Castr

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ndiyo mkuu
  7. Castr

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    🤣
  8. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mpira bwana Wiki iliyopita wamesifia Isak leo kawa hovyo kabisa. Niliandika ile siku kwamba wanaosema tunamhitaji wajue kwamba anascore sana magoli ya counter na transition kwenye low block haruki. Hata wiki haijaisha proof hii hapa. Mateta hua namuona miyeyusho eti leo ndiye kawanyima...
  9. Castr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah ila nyinyi bwana 🤣🤣
  10. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Punda linabanduliwa huko
  11. Castr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni ngumu sana kua mjinga na kusurvive. Nyinyi ni wajinga. Hamuwezi kusurvive
  12. Castr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hakuna siku nimewahi kujifukia. Sisi kuwafunga nyinyi hatujaanza jana. Tuna misimu zaidi ya minne tunawanyoosha tu. Umechelewa kulijua jukwaa lenu.
  13. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  14. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Status jana
  15. Castr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Eti "Tukaikamata Arsenal kwa dakika 15" 🤣🤣🤣 Timu ilikua haipigi pasi 3 bila mpira kupokonywa hizo dakika 15 zote zingefikaje? Anahisi anaangalia mpira peke yake nini
  16. Castr

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Bob honda today kwa laki 7 napata?
  17. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Amini unachotaka mzee
  18. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo Pickford akiruhusu goli automatically Raya anakua kashinda golden glove.
  19. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sa mbona huyo jamaa ni shabiki wa United? Tatizo ni kwamba majukwaa yenu hayakaliki so hata wapuuzi wanakuja humu pia. Trace week mbili nyuma alikua anapenda kusema Arsenal tuscreenshot msimamo wa ligi kabisa kwakua Liva au city anatutoa.
  20. Castr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Back
Top Bottom