Search results

  1. Mtama kwa watoto

    Rafiki yangu alikuwa sahihi kutenda hili mbele ya shemeji yake?

    The Boss, Sijui kwa utaratibu wa wengine lakini mbona huyo jamaa ni mtu mzima na ana uhuru wake wakuchukua anaemtaka,kwani mkewe jamaa alimuona huyu kaka hawezi kua Mzinzi? au mpaka akose raha au awe mnyoge kwani mkewe ni dada yake au just a friend? anajitia BP isiyokua yalazima kwa mambo...
  2. Mtama kwa watoto

    Hii ni hatia au mlango wa neema?

    Ukisikia kuna wanaume na Magumegume ndio hayo,huyo bwana ni mwanamme suruali..
  3. Mtama kwa watoto

    Chenji ni hatari kwa ndoa

    leo nimesoma neno jipya,kumbe hiyo kitu ikibakia inaitwa chenji?
  4. Mtama kwa watoto

    Mwanaume hafumaniwi

    Huko KUKUTWA si ndio kufamaniwa kwenyewe...
  5. Mtama kwa watoto

    Lulu asema umasikini ulipaswa kuwa dhambi

    Hana jipya nae huyo mtoto,aende shule akasome..
  6. Mtama kwa watoto

    His Excellency, Mr president.

    Na hilo koto ndio style yake kufunga vifungo juu chini au?
  7. Mtama kwa watoto

    Mwanaume kumuuliza kiasi cha mahari mpenzi wake ni halali?

    Mahari ni zawadi kutoka kwa mume anampa mkewe,sasa mkianza kuulizana unataka ngapi au unategemea ngapi hapo panakua na mzozo baadae,chamsingi kama ningekua wewe na nampenda huyo bwana awe mume wangu na baba wa watoto wangu ningemwambia wala mahari yasikutie BP uwezo wako mpenzi wangu muhimu ni...
  8. Mtama kwa watoto

    Hivi ni sahihi kwa mwanaume kulala ukweni?

    Mimi sioni kama kuna tatizo lakini mumewangu HAKUBALI KULALA KWETU tena hata Dad amwambie lala nyumbani kwanini mfikie hotel halali, lakini tukienda kwa Bibi analala sasa sijui kwanini nikimuliza anasema kule kwa wakwe..
  9. Mtama kwa watoto

    Hivi jamani kuna ukweli juu ya hili?

    Aweje namanisha awena tabia zaiana gani au kitu muhimu kwako wewe kama binadamu kupi mpenzi wako akiwanacho unapendelea zaidi au unafurahi zaidi,mfano mimi napenda mume mrefu asiwe mnene,anaenidekeza,ambao hajaoa wala hana mtoto wa nje,mwenye kuniheshimu mcheshi...
  10. Mtama kwa watoto

    Kaja kuomba samahani bila aibu

    apewa nkewe........
  11. Mtama kwa watoto

    Bado nampenda msichana wa zamani

    Imenibidi nicheke kwanza, ndio mana kwanza kabla hujafanya maamuzi yakuwacha mwanamke hakikisha kua umeshamalizana nae kuanzia moyoni umalizie na machoni, huyo mdada kwa sasa yuko na mpenzi ulie mfumania nae na still anakwambia anakupenda na weye unampenzi wako mwengine na nimzuri kuliko yeye na...
  12. Mtama kwa watoto

    Hivi jamani kuna ukweli juu ya hili?

    lol Nimtakae hataki, nisomtaka yu hoi hadi anakupa dhiki nyumbani kwao hakai.......... Kwani huyu mwanamke unaemtaka yukoje na ananini? na usie mtaka nae yukoje na anakosa gani?
  13. Mtama kwa watoto

    Nimemnasa mke wangu akiwa anachepuka na sex machine

    Nawewe unahakika kwa dozi unayompa kwa kiwango chake na tundu wako unamfikisha? mwanamke ni kiumbe mwenye aibu sio kama mwanamme anaweza kusema anataka bao kwa mkewe,lakini mwanamke utaona ishara tuu,sasa usinune wala usikereke nafsi yako ukirejea nyumbani muongeze dozi na jitahidi sana kumpa...
  14. Mtama kwa watoto

    Nimemnasa mke wangu akiwa anachepuka na sex machine

    Ulimuliza kama anatosheka kwenye mambo flani?
  15. Mtama kwa watoto

    Natafuta mke

    Mke huyo wa dini gani au yoyote tuu as long as ni mke? ebu basi jitambulishe zaidi unafanya kazi au umejiajiri yani mambo kidogo yakumtia mtu nguvu ajue uko serious.....
  16. Mtama kwa watoto

    Wivu ambao sitausahau maishani

    Mungu anistiri,lakini kuna watu wana roho ngumu mpaka wanajidhuru wenyewe.......
Back
Top Bottom