Search results

  1. M

    The road towards 2010 Elections

    Niko tayari: Lakini ni 2015 nitakuwa 48 years old. Kwa 2010 watanzania wengi bado wamelala hawajawa tayari kujikomboa! Kizazi cha akina mtikila , John Cheyo (na muungano wao kiboyo) kitakuwa kimekuwa kibogoyo. Shule za kata zitakuwa zimetoa wanafunzi wengi katani kwa hiyo kuelewa somo itakuwa...
  2. M

    BEMBA wa DRC akileta Ukaidi nchi za SADC zimudhibiti asiachiwe kuua watu tena!

    Hivi hasa viongozi wa Africa and the so called rebels ni lini wataacha kuua wananchi? what is happening in Chad? Sudan? DRC? http://www.timesnews.co.ke/26nov06/nwsstory/opinion2.html Bemba's Napoleanic antics dangerous HERBERT-Jean Awuor The world press informs me that there is...
  3. M

    Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka

    Mkandara umetoa somo la uhakika utafiri Harub othman anmwaga vitu vya DS darasani pale UDSM! Kama jizalendo hataelewa basi pumzika mkuu!
  4. M

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Huyu Dr. Who ana yake huyu ya udini! ujahidina hapa!! Kuna wakati nilitoa article kuhusu maproffesor ajana na zake eti hajui kuhusu ni alichokuwa anafanya Prof. Malima! Nilitaja maprofessor wengi tu lakini yeye akarukia kuhusu malima, na Kapuya! Sasa kama hamjui Malima na Kapuya...
  5. M

    CCM: Ilani Ya Uchaguzi 2005-2010

    Hili suala la Mahakama ya Kadhi ilikuwa na agenda ya KICHAA MREMA!!! NA BAADA YA HAPO KAIDI BMW AKAIRUKIA BILA KUICHAMUBA NA AKAAMUA KUIFANYA AGENDA YA CCM KWENYE ILANI!!!! WA KULAUMU NI MKRISTU MKAPA NA SIYO KIKWETE!! NINAONA WENZANGU WANAMLAUMU JK. TUSIPOKUWA MAKINI KATIKA KUCHAMBUA NA...
  6. M

    BEMBA wa DRC akileta Ukaidi nchi za SADC zimudhibiti asiachiwe kuua watu tena!

    Kamsisitizo tu kuwa Kabila ni Mzaire na the Right man kutawala DRC kwa sasa. Bemba akitulia atakamata nchi baada ya Kabila na kama kweli ana nia ya kuwa kiongozi wa wakongo lakini! huyu ni descendat wa Mabutu na ameoa mtoto wa Mabutu na ana mahela kibao...
  7. M

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Yes Mzee ES great facts, wao acha wajimalize bila kujua. Labda wataikimbia/wataihama nchi kama alivyofanya SUmaye eti anaenda kusoma! Ni kwa nini wameachama tu wanatunisha matumbo yao. hii vita ya umasikini hata kama mnasema ni viini macho anyesema sema ni rais peke yake. Wenzake wanamcheka...
  8. M

    Hii ni prioriy au CCM wanataka wawe na Helcopter kumpiku Mbowe katika uchaguzi 2010?

    Mbona serikali ina ruka ruka tu!! Je hili LA UNUNUZI WA NDEGE na HELCOPTER nalo LIMO KWENYE ILANI YA CCM? kama lingekuwamo CCM wasingelipata ushindi wa 80%. Au baada ya kuongezewa mgawo wa fedha za madini BADALA YA KUZIPELELA KATIKA ELIMU, AFYA, BARABARA, NK SASA MMEAMUA KUSIPELEKA...
  9. M

    Watanzania nani katuloga ?

    angali hiyo attachment
  10. M

    Watanzania nani katuloga ?

    Bado tuna safari ndefu! Lakini kwa kutoa data za mafanikio tuko juu. Kuna mwaka Former PM aliwahi kutoa amri kuhakikisha Shule zote zina Madawati. Je walifanakiwa? Ila ukiangalia data utaambiwa hakuna wanafunzi wanaokaa chini!
  11. M

    Mahojiano yako Mwanakijiji ni MEPESI MNO

    Mwanakijiji usiogope kuanzishiwa topic!! KAMA NI HIVYO na wewe utakuwa kama hao watawala wa Tanzania wanaokataa kukoselewa!. Topic hii ni changamoto kwako ili uzitumie kurekebisha Makosa. Kwa hiyo Mugishwagwe amefanya vizuri sana. Watu wengi wanafuatlia mahojiano yako wengi tunahitaji...
  12. M

    COTECNA na TISCAN: IPTL nyingine?

    Ninadahani orpdha yao ni kubwa lakini sijui ni yupi ambaye ni epicenter! Lakini ni miongoni mwa hawa. (1)Abdallah Kigoda. (2)Rubambe (3)Sumaye. (4)Mkapa(baba lao). (5) Mary Ndosi wengine wanaweza kuwa wanawajua zaidi! Ila hii awamu mpya pia. Akina Lowassa, wanaweza kuulizwa...
  13. M

    Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

    Ndugu Mkwawa, hili ni tatizo kubwa la taifa zima anagalia Mgodi wa almasi mwadui, IPTL, mererani. Kamati ilundwa na Lowassa alisema mambo yaote yatawekwa wazi kuhusiana na ugomvi ulipo kati ya wachimbai wadogo na kampuni ya akina Masha (Naibu waziri ). Usitegemee jipya leo huko Bungeni...
Back
Top Bottom