Hii ni prioriy au CCM wanataka wawe na Helcopter kumpiku Mbowe katika uchaguzi 2010?

Mandela

Member
Jul 14, 2006
13
2
Mbona serikali ina ruka ruka tu!!

Je hili LA UNUNUZI WA NDEGE na HELCOPTER nalo LIMO KWENYE ILANI YA CCM? kama lingekuwamo CCM wasingelipata ushindi wa 80%.

Au baada ya kuongezewa mgawo wa fedha za madini BADALA YA KUZIPELELA KATIKA ELIMU, AFYA, BARABARA, NK SASA MMEAMUA KUSIPELEKA KWENYE HELCOPTER.ILI mpate 10% nyingine.

TENA BILA AINU MRAMBA ANASEMA BARABARA ZA VIJIJINI HAZIPITIKI? INA MAANA NI IMPOSSIBLE KUZIJENGA?
NI KWA NINI MSITUMIE HIYO HELA KUIMARISHA AU KUJENDA HIZO BARABARA? ILI WATANZANIA WA KAWAIDA WANUFAIKE? AMA KWELI HAYA NI YALE YA KUPUNGUZA USHURU WA MAFUTA YA NDEGE NA KUACHA MAFUTA YA TAA YAKIWA NA BEI JUU??

LAKINI KWENYE KURA WAKATI WA UCHAGUZI HAWA WANAOTUMI MAFUTA YA TAA, BARABRA NA SIYO NDEGE NDIYO WANAOICHAGUA CCM.

KWELI TUTAKURA MAJANI!!!!!!!!!

UKOMBOZI WA KWELI UNAHITAJIKA.

Yaani mmeanza Kampeni za uchaguzi mwaka huu!!

http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2006/08/23/72976.html

Govt to buy three more aircraft

2006-08-23 08:55:54
By Bilham Kimati

The government plans to buy three aircraft to facilitate and enhance the efficiency of its officials, The Guardian has established.

In an exclusive interview, Infrastructure Development Minister, Basil Mramba divulged yesterday that one of the airplanes to be procured would be a helicopter to facilitate visits by government officials to remote and marginal regions of the vast country.

”The government does not intend to buy another plane similar to the presidential jet, but rather to replace two of its old aircrafts and acquire a new and modern helicopter,” Mramba clarified.

Mramba said there was dire need to replace the Jet F-28 and F-50 turbo prop planes, which are now old after operating and serving the government for more than 20 years.

The decision to procure the three aircrafts, Mramba noted, was not unilateral, but a culmination of comprehensive consultations by the relevant government organs including endorsement by parliament.

”Three years ago parliament endorsed the plan to buy the aircrafts. The viability of the project was debated in the House and received all the blessings only that its implementation depends on the availability of funds,” said Mramba without specifying how much the venture would cost the tax payers.

However, the minister was categorical that the procurement exercise would be a one-source venture. The purchase would be undertaken in phases owing to availability of funds.

Qualifying the procurement for a chopper, Mramba was emphatic that there are some villages, which are inaccessible during the rain season.

The helicopter, he stressed, would enhance delivery of supplies in case of emergencies or courtesy tour by government officials.

Commenting on the state of the presidential jet that in the recent past has been a borne of contention among some legislators and the general public, Mramba said the jet was in perfect condition.

”Scores of journalists witnessed yesterday (on Monday) at Terminal One of the Dar es Salaam International airport when President Jakaya Kikwete left for Angola using the very presidential jet.

Those criticising the government for buying it should consider the convenience for having the jet and the inconvenience of not having one,” said Mramba.

The fact that most of the time the presidential jet was parked, the minister further observed, does not imply the jet was defective.

”The jet is meant for long distance flights not for visits to every village in Tanzania. Just imagine it would have required our President to fly all the way to London or Lisbon in Portugal to catch up with another flight to Luanda, Angola. But the jet simplified everything and he could attend to other duties more conveniently,” Mramba insisted.

In the just concluded budget session, one of the MPs accused the government of spending billions of tax payers’ money to buy what he termed a ”defective jet.”

* SOURCE: Guardian
 
Sina la kusema juu ya hili this is typical CCM wanatumia kwa sasa na watakuwa wapole mwaka 2010 na lazima wapiga kura kula majani .Serikali ina loyal kwa CCM zaidi ya Nchi matokeo ni haya watu kujipanga kujikita kwenye madaraka
 
Ni muhimu sana serikali kuwa na helikopta. Ilibidi wanunue helikopta kabla ya kununua executive jet.

Helikopta la serikali linaweza kuchangia kuinua uchumi. Rais anapokwenda Bagamoyo, aende na helikopta. Hilo litaondoa hii kawaida ya sasa ya kufunga barabara zote zinazoingia Bagamoyo Road kila JK aendapo kumtembelea Baba yake.

Rais, Waziri Mkuu na wengine wanaofunga barabara waendapo uwanja wa ndege, waache kufanya hivyo, na badala yake waende na helikopta. Ufungaji wa barabara na utumiaji wa magari chungu nzima kwenye safari fupi za viongozi unaathiri sana uchumi. Kama wakitumia helikopta, itasaidia sana.

Na wewe Mramba ulikuwa wapi siku zote msinunue helikopta? Kwa nini ulifikiria executive jet hata kabla ya helikopta?

Kuhusu kubidika kwenda Ulaya ndio mtu aende Luanda, sio kweli. Inatosha kwenda Johannesburg na kuchukua ndege toka hapo. Hivi Mramba unadanganya waziwazi namna hii, unadhani hatusafiri?

Augustine Moshi
 
Huyu Mramba aache kudanganya umma kuhusu hiyo route.


A.Moshi,
Uchumi wa kununua Helikopta bado hauniingii ndani ya kichwa, its not sustainable/justifiable just kwa kwenda bagamoyo au hata sehemu zingine, JK anapokwenda bagamoyo, si kweli kuwa barabara hufungwa kabisa, traffic movement/flow huwa inakuwepo isipokuwa wakti JK akipita watu huwekwa pembeni for couple of minutes if not seconds.

Badala ya kuongeza capacity ya barabara zetu, ili mwananchi naye afaidi matunda ya rasilimali ya taifa, akaweza kusafirisha mazao yake akafanya biashara na serikali ndipo ipate kodi ndio hatimaye ifikirie kununua hayo madege, wengine wanafikiria kupaa!!!. Prof Mwandosya juzi huko Kigoma wananchi wamemlilia sana kuhusu ubovu wa barabara za huko. Hivi jamani nani katuloga??

Moshi nakuhakikishia hata hiyo helikopta ikiwepo hao watawala watendelea tu kuweka hiyo misafara kabla JK kufika huko, hivyo helikopta haitapunguza misafara kamwe.

JK nakuhakikishia, tengeneza barabara, zitakununulia hizo helikopta/na hayo madege.

Mnamlaumu Zakhia pekee, hata huyu Mramba pia ni kundi hilo hilo, mmoja katoa msamaha, mwingine katoa tenda!!!

Hivi ni nani atawawajibisha hawa? Ni sisi wenyewe wananchi, tuendelee kuwapigia makelele
 
Ogah,

Nijuavyo mimi helikopta sio ghali sana kama ndege, na hutumia mafuta ya gharama ndogo. Gharama za kuendeshea helikopta sio kubwa kama za ndege.

Hao JK anaokwenda nao Bagamoyo magari 12 ni wa kazi gani? Na wanafanya nini wakishafika? Kama ni watu wachache wa ulinzi aende nao kwa helikopta. Akitaka ulinzi zaidi achukue polisi wa huko, au hata kikosi cha jeshi kilichopo karibu.

Kama wakipita watu bila kiongozi, sidhani kama watathubutu kufunga barabara. Hawa wanoapita na msafara wa JK huenda kiajabu, na wameshakuwa wakileta ajali mbaya. Wapite angani.

Helikopta itawezesha viongozi kufika sehemu zote, na ni rahisi sana ukilinganisha na ndege. Mramba anunue hilo chopa haraka sana, na amtake JK na Viongozi wakuu wenzake waitumie hiyo ili watuachie barabara zetu.

Augustine Moshi
 
Mushi
Mkisha achiwa barabara mtawasikia tena wakiziongelea karibia na Uchaguzi kwamba watazijenga mkiwapa miaka 5 tena ndiyo asili ya CCM na watawala wake . Niliona bora kuziba barabara halafu zikawa safi kupitika kuliko hivi .Walitaka kupanua ile ya Bagamoyo sasa wakianza na anga basi tumeliwa .Tukutuku litavuruga kishenzi kwenye kampeni mnagawa kura kama njugu baadaye wanataka kununua sasa matukutuku zaidi kwa viongozi zaidi baada ya kuwachagua . Nimeingiwa na uoga kweli kwenye hii hoja .Tutakula majani watanzania na kufa kwa kipindupindu jamamni
 
Back
Top Bottom