Search results

  1. K

    Fikisheni ujumbe huu kwa rais ili kusawazisha haya mambo haraka Tusonge Kwa Amani

    Eti serikali inayoongozwa na mcha Mungu!! Mungu ninayemwabudu mimi au mwingine?
  2. K

    CUF yaipa Talaka UKAWA... Sasa Kushiriki uchaguzi wa madiwani kivyake

    Tusubiri tutaona fedheha atakayoipata! Ataumbuka saana! Nakuunga mkono
  3. K

    Rais Magufuli afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Juliana Shonza aula, Maghembe out..

    Nasikitika tu Mkuu alituahidi kuwa atapunguza ukubwa wa baraza la mawaziri wakati wa kampeni za 2015. Na sasa ameamua kabisa kuliongeza na kuwa na wizara 21, mawaziri 21 na manaibu vilevile!!!!!!
  4. K

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Heshima yako haitaondoa au kupunguza hadhi ya kanisa!
  5. K

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Hahahaaaa! Napita tuuuu
  6. K

    Tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu

    Hongera kwa maelezo mazuri! Bila shaka huyo aliyeuliza swali atakuwa amepata Mwanga! Nasi pia tumepata kitu!
  7. K

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Ni kweli hakuna mtu anayepinga kuwa hayo sio matatizo LA hasha ila je ni priority? Yapo matatizo mengi na makubwa ambayo yanahitaji utatuzi kwa haraka, hayo mengine yatafuata
  8. K

    Vuai Nahodha: Serikali ya Muungano na Serikali ya Zanzibar zapaswa kugawana mapato

    Afadhali aliyesema hao ni Mwana ccm tena aliyewahi kushika nyadhifa kibao serikalini! Angesema mbunge toka upinzani wangesema wapinzani wanaleta chokochoko
  9. K

    NLD Mtwara 'waibipu' UKAWA

    Kati ya magazeti ambayo sina muda nayo ni habari Leo na Uhuru! Hawaandiki cha maana! Yanafaa kufutia vioo vya magari na kufungia vitumbua
  10. K

    Naombeni TBC2 na TBC international please!

    TBC haina kitu! Uozo mtupu! Mimi sina muda nalo kabiaaa
  11. K

    Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

    Hahahaha! Huyu mama mpuuzi kweli
  12. K

    Kauli ya watu wa Nkenge tutakupa kura mwana CCM wetu/mbunge mpendwa

    Mjadala wa escrow ulituonyesha wabunge vilaza! Asante kwa kutufanya kuwajue umbumbumbu wenu na hasa huyo mama jazba assumpta na mmoja alijifanya kuwa ticha na taarabu yake
Back
Top Bottom