Tangu kuingia kwa dawa za kuvubaza VVU (ARVs) kumeripotiwa kuwepo kwa mafanikio makubwa katika kuboresha afya za watu wanaoishi na VVU kwa kusaidia kupunguza idadi ya VVU na kuongeza idadi ya
chembe nyeupe za CD4 zinazosaidia mwili kujilinda na maradhi. Lakini ARVs ni nini? Kuna makundi...
Siku hizi watu wengi wanapenda kuonekana vijana, kuanzia kwa watu mashuhuri hadi kwa watu wasio mashuhuri, hakuna mtu
anayetaka kuzeeka. Tafiti zinaonesha kuwa kuna baadhi ya matendo ambayo waweza kufanya au kuyaepuka huweza kukusaidia kupunguza au kukufanya uonekana mzee kabla ya muda...
Muscle cramps facts
A muscle cramp is an involuntarily and forcibly contracted muscle that does not relax.
Almost everyone experiences a muscle cramp at some time in their life.
There are a variety of types and causes of muscle cramps.
Numerous medicines can causemuscle cramps.
Most muscle...
Most of us have been left dumbfounded after our computer crashed. We immediately are filled with anger when all our hard work has been suddenly destroyed by a fatal error or many other reasons why your computer is crashing. However, more often than not, the reasons why Windows has crashed are...
I would like to warn you before you begin to delete cookie history. Not all cookies are bad. Some may contain information for a customized Web page or log-in information for a Web site. So, before you delete your cookies, you may want to export or save them. If you are using Internet Explorer...
Stop Slow Streaming Video
Slow streaming video can but a damper on your internet video viewing experience. If you are using service like youtube.com or Veoh.com. You are more than likely are streaming videos using a DSL connection. Most videos should load and play simultaneously using the...
Faida ya kujitibu kutokana na kitunguumaji
tiba inayopatikana katika Kitunguumaji
Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi. Ni mboga yenye harufu kali inayochangamsha. Anaeikitumia kitunguu maji ajihadhari kukitumia baada ya kukihifadhi kikiwa kimekatwakatwa, kwasababu hufanya oksaidi...
Kwa wale wenye Ugonjwa Figo na vijiwe ndani ya figo Tiba Mbadala hii naitoa Chukua kitunguu bila kukichambua, tia mbegu ya tende baada ya kuichoma kama vile buni na kuisaga; halafu kila siku kula kimoja kula kimoja kwa muda wa wiki.
How To Hide Your WiFi Network & Prevent It From Being Seen
Wireless networks are, by their nature, less secure than wired ones. While many users overestimate the potential security problems that can stem from a wireless network, there are still some risks that dont exist with wired options...
<tbody>
Zaidi ya watu 120 wameteketea kwa moto Kenya
Monday, September 12, 2011 8:12 PM
Mtu aliyewasha sigara wakati watu wakiiba mafuta toka kwenye bomba la mafuta lililopasuka alisababisha moto mkubwa uliopelekea vifo vya zaidi ya watu 120 leo asubuhi jumatatu jijini Nairobi, Kenya...
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kitopeni iliyoko Korogwe mkoani Tanga, wakiwa nje ya chumba cha darasa. Mahudhurio ya wanafunzi wa kike katika shule hii yamedorora, kutokana na hofu ya kupatwa na ugonjwa wa , kuweweseka, kulia na kuanguka./Picha na Kizitto Noya
Na Kizitto Noya
"KIWANGO...
Maoni ya katuni
Taifa linaomboleza msiba mkubwa wa vifo vya takribani watu 240 waliopoteza maisha katika ajali mbaya ya meli ya Spice Islander iliyotokea usiku wa kuamkia Jumamosi, ikisafiri kutoka Unguja kwenda Pemba. Pia kiasi cha watu 521 hivi wameokolewa.
Ajali hii imeacha machungu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.