Search results

  1. W

    Kwanini Kikwete aliruhusu Mchakato wa Katiba mpya?

    Nahuzunika sana kwakuwa mchakato huu unaleta hasara kubwa wakati JK alitaka katiba mpya iwe kama hii hii inayotumika sasa. Ni bora tungetumia hizo hela zinazoendelea kutumika sasa kwenye matumizi mengine ya msingi alafu tukabadili sheria au hata kufanya mabadiliko ya katiba ya sasa kuruhusu vitu...
  2. W

    Uzinduzi wa kitabu cha Mufti kwenye Baraza la Eid Karimjee

    Sema icho kitabu kinahusu nini?
  3. W

    Utabiri: Kilichotokea kwa Uhuru Kenyatta kitatokea kwa Edward Lowassa

    Nakubaliana na mtoa hoja. Kwa hapa tulipofikia tunaitaji rais ajar awe mchapakaz atakae wafanya mawaziri na watumishi wote wa uma wachape kazi yenye tija kwa watz wote. Alipokuwa pm alilifanya hilo, cheki ata alipokuwa waziri wa maji na mifugo watz tulipata faida Kubwa sana; tulipata uhuru...
  4. W

    Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini

    Inabidi tuongozwe na mantiki ya mambo (Facts). Ukipima hoja zilizotolewa na Serikali kuhusiana na hili swala la gas ya Mtwwara kama majibu ya watu wanaopinga usafirishaji wa gas kutoka Mtwara kwenda Dar, unaona kabisa hoja za Serikali hazina maana yoyote i.e they are nonesense. Serikali wao...
  5. W

    Henry Matata: Dr. Slaa mwongo no. 1 duniani

    Huyu Bw. anaeitwa Henry Matata sio mzima hata kidogo. Mara ya kwanza kumwona ilikuwa kwenye harambee ya kuchangia Kanisa hapa Pasiansi na mgeni rasmi alikuwa Mhe. Waziri Mkuu. Jamaa alibehave kihuni sana. Wanaomfaham wanasema anafujo sana na anarekodi ya kuwai kuwa mhalifu sana (jambazi). Tatizo...
  6. W

    Kesi ya Lema: Lissu amkaanga Profesa Shivji

    Katika wasomi wa nchi hii ambaye nilimwona ni mtu ambae anazungumza 'facts' na yuko 'objective' na nilimwamini sana ni Prof. Shivji. Ila kwa siku za karibuni naamini amekengeuka sana na ni msomi ambae chochote atakachokisema lazima nikiangalie kwa jicho la tatu. Alinishangaza pale aliposema eti...
  7. W

    Exclusive: Hukumu ya kesi ya Mh. Godbless Lema iliyosomwa Disemba 21, 2012

    Thanks a lot. Asante sana na MUNGU akubariki sana
  8. W

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    Ukizaliwa Mzanzibari raha sana, unakuwa na nchi mbili unazoweza kupata uongozi wa Kitaifa, yaani Zanzibar ulikozaliwa na Tanganyika ambako unakuwa mkoloni. Sijui ni kwanini akina Raisi JK, hata Mwalimu na BM wote walikuwa wanajikomba kwa Wazanzibari. Mbaya zaidi ni pale tulipotaliwa na mzee...
  9. W

    Zitto afunguka na kueleza hafanyi siasa za kufuata upepo, anasimamia kanuni

    We shall know many things which are under the carpet as 2012 power struggles continues. Thanks for this Power struggles and Thanks for strong opposition of CHADEMA and Thanks to President JK who appointed Minister Prof. Muhongo and Secretary Maswi in the Ministry of mining and energy. That shows...
  10. W

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Hatuendelei sababu viongozi wengi uwezo wao wa kiakili na maarifa ni mdogo sana. Unapofurai mabaya yanayomkuta binadamu mwenzako ni ustaarabu wa kigaidi. Bora hata angekaa kimya. Alafu mbaya zaidi ni mwanamke!! sisi wanaume tunaamini wanawake wanahuruma sana, kumbe siku hizi ni vicevesa. Kazi...
  11. W

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Get well soon Hon. Edward Lowassa.
  12. W

    Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    Rest in Peace my University mate Regia. Its sad to lose you
  13. W

    Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

    Sera ya chama chake cha CUF ni kutaka tuwe na serikali tatu, naona baada ya kupata ulaji sasa hiyo sera kaibadili. Anataka mambo yaendelee kama yalivyo ila raisi wa muungano awe Mzanzibar preferably from Pemba. Kwa sisi wa TZ bara (Tanganyika) kuongozwa kuwa na raisi wa Muungano ambae ni...
  14. W

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Mhhh, kaazi kweli kweli. Historia inasema Tanganyika baada vita vya pili vya dunia iliwekwa chini ya Uingereza kuiongoza kuelekea kwenye uhuru. Je hii inamaanisha kwamba uhuru wetu ulikuwa rahisi sana kuupata?!! Mimi nadhani alikosea pia kwenye aina ya Muungano tulionao. Kwanini aliigopa...
  15. W

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kwa maoni yangu nadhani akina EL, Mshabaaa na yule mwingine kwenye ishu ya Richmond walitolewa kafara tu. Ni kweli kuwa na rushwa na ufisadi lakini ni Serikali nzima ilihusika na huo Ufisadi. sio kwamba eti ilikuwa ni deal ya siri kwamba Raisi alikuwa hajui. Kikwete mwenyewe amesikika mara...
  16. W

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kweli tatizo ni namna anavyopatika Raisi wa nchi. Kuna watu wachache ambao ndo wanaomchangua raisi alafu wengi tunamdhibitisha kupitia sanduku la kura. Firia watu wanaoingia kwenye vikao vikuu vinavyoendesha nchi kama NEC ya CCM? Nadhani wao ndo haswa wanaochagua hasa ukizingatia udhaifu na...
  17. W

    Hivi mgao Arusha umeisha au ni mema ya sikukuu ya Iddi??

    Leo tarehe 02/09/2011 umeme umekatwa hapa Mwanza kwenye saa Mbili na nusu na umerudi saa moja. Hata mimi najiuliza huu umeme kwanzia Jumanne mpaka asubui ya leo maeneo karibia yote ya nchi hii umetoka wapi??!! Tatizo la Tanzania hii matajiri wengi wanafanya biashara through...
  18. W

    Kamanda tosi alistaafu?

    yeah, Kamanda Tossi alishaastafu upolisi na sasa ana mkataba na Wizara ya Maliasili na utalii wa kupambana/kuzuia ujangili wa wanyamapori. Amefanya Good Job na wanafunzi wa chuo cha taaluma ya uhifadhi na usimamizi wa wanyamapori - Pasiansi kilichoko huko Mwanza. Hata mimi nimeona taarifa ya...
  19. W

    Wapanga kumburuza Babu wa loliondo kortini

    Ohhh, hii ndio Tanzania zaidi tuijuavyo. Kwakweli nawapa pole sana wale wote waliopoteza muda na pesa zao kwenda huko Loliondo kupata tiba ya kikombe. Wanaosema swala la Imani wanakosea sana, babu na askofu Laizer hawakuwai kusema kwamba inabidi uwe na imani. Nakumbuka Askofu Laizer alisema eti...
  20. W

    Mgao wa umeme waongezeka baada ya bajeti ya nishati kupitishwa

    Niko mtaa wa Pasiansi ndani ya jiji la Mwanza. Jumapili kwanzia asubui umeme haukuwepo, ulirudi kwenye saa moja na nusu usiku alafu wakaukata saa nne na robo usiku huo huo wa Jumapili. Jana Jumatatu nzima hatujapa umeme na leo hii (Jumanne) mpaka hivi sasa ninapoandika hii comment yangu ni saa...
Back
Top Bottom