Search results

  1. E

    Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

    Nina wasiwasi na wewe yawezekana ni mmoja wa Management, Kiuhalisia hospital ulikuwa vizuri sana na wahudumu walikuwa vyema sana na wanajua wajibu wao na wakarimu sana. Ila baada ya kuanza utawala huu wa 5 iliyopelekea kuanza kupunguza Wafanyakazi na hata kusitisha mikataba tena kwa lugha...
  2. E

    Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

    Mmmh Kuna mengi ya ukweli, nikiwa mteja mzuri hapo hospital kiukweli morali ya wahudumu hasa manesi umeisha sababu wanapunguzwa kazini, nilipiga story na baadhi yao ni kuwa wale wazoefu mkataba ukiisha na chako ndo kimeisha na hakuna ku-renew na hata mafao yao kuandikiwa umekuwa mtihani, kwa...
  3. E

    Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kwa maoni yangu nadhani Upinzani umeamua kuingia uchaguzi huu ili kudhihirishia wananchi na Dunia kwa ujumla kile walichokuwa wanakilalamikia kila mara. Kwamba: -Umuhimu wa tume huru ya uchaguzi -Uonezi kwa wapinzani -Kukosekana uhuru wa kupata na kutoa habari -Mihimili ya nchi wakati mwingine...
  4. E

    Uchaguzi 2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

    Ni kweli unaweza ahirisha na kuomba Muda mwingine kulingana na nafasi ya Ratiba iliyopo. Mleta maada hakujua kuwa Kuna Ratiba, alidhani wanajiamlia tuu, Ratiba inakuwa controlled na Tume ya Uchaguzi.
  5. E

    Uchaguzi 2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

    Mmmh, siyo kweli kajiendea, ni Ratiba ya Tume na inafuatwa, hawajiamlii tu, ukiwa wanajiamlia so watagongana sehemu moja? Hapo mleta mada umepotoka
  6. E

    Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

    Hahaaa Drama za Mrema WA TLP ni Hatari, si aliona wenzake wamepotea yeye ndo yupo sawa? So analalamika nini? Ndo kagundua now kuwa democrasia si kihivyo?
  7. E

    MATAGA tunadhalilishana sana

    Mmmh naona kunashida somewhere, Juzi/Jana pia wametoa tangazo la ujio WA Ndege nyingine chakishangaza Leo waziri kakanusha hiyo habari Na kuamru aliyetangaza asakwe, so vingapi wananchi wanalishwa vya uongo?
  8. E

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Mmmh haipo hivyo na kunamabadiliko ya mrabaha toka 2017 Hisa 16% (Free share) dhamana ni Ardhi na madini Tozo zingine zipo kama kawaida bila kuangalia ni serikali au Barrick, maana hapo ni Twiga Kampuni, Mrabaha (Royalty) ni 6% na Inspection fee 1% ya Mauzo ghafi (Hizi zitatolewa kwenye gharama...
  9. E

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Natumaini itapatikana kwa sababu zifuatazo: 1) Kwenye Management watakuwa wote Serikari na Barrick na pia kila mmoja kuweka wawakilishi katika kampuni hiyo Mpya Twiga, hivyo maamzi yoyote pande zote zinakuwepo 2)Natumaini pia kwa wafanyakazi mbalimbali watakuwepo wanaoiwakilisha serikali...
  10. E

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Mmmh sidhani mgawanyo na mahesabu yako kwa hizo asilimia mpaka kufika 46% ni sahihi, Hapana. 16% ni Hisa, mfano tuna kampuni yetu ina dhamani ya 100 hivyo serikali inaumiliki wa 16% bure na hii 84% ni ya mwekezaji mwendeshaji, hii 30% ni Cooperate tax ambayo itaanza kulipwa kutokana na faida ya...
  11. E

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Hahahaaa hapo pia kunahitaji maelezo. Kwa kawaida ya makampuni yakisha breakeven wanaanza kulipa Cooporate tax 30% na kwa Acacia/barrick walishabreakeven na kuanza kulipa hiyo 30%, je kwa kuanzisha kampuni mpya TWIGA ngoma inarudi kuanza upya?
  12. E

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Hapana haiwezekani kwa mchakato huu wa 16% kwa 84% maana hii 16% ni free Interest, na hii ni kwasababu ya ardhi ni ya serikali maanake itaipa uhuru wa kuingia vikao na kuwa na cha kuongea kwa kampuni sababu naye anaumiliki huo wa 16%, na indapo mgodi utauzwa serikali hapo ina udhamani wa 16% ya...
  13. E

    Jiji la Dar es Salaam laongoza kwa kukusanya mapato kipindi cha robo mwaka na Jiji la Dodoma limeshika nafasi ya mwisho

    Naweza kukubaliana kabisa kwa kulinganisha majiji. Mwaka jana Jiji la Dodoma liliibuka kidedea kutokana na mapato yatokanayo na dhuluma ya viwanja kwa wananchi wanaozunguka mji. Kulifanyika utwaliwaji wa maeneo ya wenyeji kibabe na kidhulumati, mfano vijiji vilivyokaribu na mji wa kiserikali...
  14. E

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Kwa uelewa wa maandishi kama yatakuwa hivyo ni kuwa Sheria ya madini 2010 na marekebisho yake 2017 inaeleza kuwa kwa Mgodi wowote unaoanza serikali itakuwa na hisa bure(Free) 16% na Mwekezaji 84% hii ni kuwa uendeshaji na shughuli zote zitakuwa za muwekezaji bila serikali kuweka chochote, ila...
  15. E

    Gharama za kuandaa mapokezi ya Madini zinapo kuwa kubwa kuliko thamani ya Madini yenyewe.

    Duu inawezekana eee Hebu tuone makisio ya dhamani Uzito Kilo 35=35,000gm Ubora (Purity mfano average: 86%) Bei ya Soko 105,000 kwa gram (www.goldrate24.com) Thamani=Uzito x Ubora(%) x Bei =35,000 x 0.86 x 105,000 =3,160,500,000 (3.16Bilioni) Safi ni mpunga mzuri wa kuendeleza kitu Ila jambo...
  16. E

    Rais Magufuli ashuhudia makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 iliyokamatwa nchini Kenya

    Hiyo ndo Average Purity? Duuu Mbona hiyo si Dhahabu sasa? Maana 55% hapo ni other metals Copper, Silver, Iron etc.
  17. E

    Harakati za Pimbi

    Hapana, yeye na vimbaumbau Betina mbalimbali, Zake heavy duties Zena and her Companies, ila kila dili lilikuwa linafail na hata kuambulia vipigo. Lilikuwa jarida mjarabu sana, kila mwisho WA mwezi, kulikuwa na mafunzo na tafsida ya vitu kuongelewa, tofauti na sasa tafsida ya Maneno imekuwa adimu
  18. E

    Harakati za Pimbi

    Duuu lilikuwaga Bonge la jarida, na Mzee WA harakati anaishia maumivu tuu kila siku,
  19. E

    Selection form five

    Pitieni Link hiyo, unatafuta kwa namba, jina la shule, au mkoa simple tuu: http://gwftool.tamisemi.go.tz/form_5_2019/index.html
  20. E

    MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2019/2020

    http://gwftool.tamisemi.go.tz/form_5_2019/index.html http://gwftool.tamisemi.go.tz/form_5_2019/index.html
Back
Top Bottom