Search results

  1. M

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    CHADEMA mmejazana humu kumponda rais wetu? Kwenu nyie rais ni Mbowe tu ambaye hata kwenye chama ili ashinde mpaka abebwe na mkwe.
  2. M

    Bila misaada wangepita kuomba kura vipi?

    Hao asilimia 10 ndio hao wezi na mafisadi. Nchi zote zilizoendelea, zilifanya hivyo kwa kuwatumia wasomi wake wachache kufanya mambo ya maana kwa faida ya nchi. Sisi wasomi wetu si ndio hao akina Zitto hata bila aibu anatangazia umma anaenda Germany kufanya check-up? Ingekuwa nchi nyingine kwa...
  3. M

    Bila misaada wangepita kuomba kura vipi?

    Mzee Mwanakijiji, Umaskini ndio unawafanya watu wawe omba omba. Ni sawa na wewe wakati ule unawabembeleza wale Wamisionari wakusaidie kukupeleka USA. Au ndio sasa umesahau? Ukishiba ni rahisi sana kuwakashifu wenye njaa.
  4. M

    Matibabu kukimbilia nje mpaka lini?

    Mawazo ya wanasiasa wetu yanafanana tu, watu hawa wakija kuwa mawaziri itakuwaje?
  5. M

    Wenyeviti wa mitaa kugawa vyandarua vya mbu

    Ndugu yangu kachukue vyandarua hivyo kwa niaba ya familia yako. Acha kuweka siasa kila mahali. Huo mpango wa vyandarua upo kwa muda sasa na ni matokeo ya zile ziara za Bush. Pia lazima ujue huyo mwenyekiti wa mtaa mmemchagua wenyewe. Kama hawafai au anahonga vyandarua basi uamuzi uko kwenu...
  6. M

    Elections 2010 Ubabe wa Makamba... ashinikiza mwanae awe mbunge....

    Wananchi wa Bumbuli wana akili za kujua nani anatakiwa kuwa mbunge wao. Haya ya kukimbilia na tuhuma kibao hapa JF ni ya watu ambao wameshindwa kwenye siasa za hoja na sasa wanakimbilia kwenye siasa za kuchafuana. Ubunge agombe January, nyie mnatumie muda wote kumuongelea babake, why...
  7. M

    Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

    Bado hawajapata usajili wa kudumu. Hii CCJ na CHADEMA watagawana kura na kuiacha CCM inapeta kilaini sana. Labda wakubali kuachiana majimbo hapo kutakuwa na la maana.
  8. M

    Dkt Mwakyembe Unafahamu Kinachoendelea Jimboni Kwako Kyela?

    Kasyabone, Vipi mbona mmeanza kupiga wafuasi wenu tena? Baada ya kuona huyo Mwenyekiti wa Ipinda, bwana Mensa kaamua kwenda kwa Mwanjala, mnamtumia vijana ili wakampige? Hizo sio siasa tena, acheni kutumia vitisho kunyanyasa wananchi wasiwakimbie. Mlianza kueneza eti Mwakalinga kajitoa...
  9. M

    CHADEMA hawana mpango wa kushinda uchaguzi 2010?

    Hawa CHADEMA wamekata tamaa ya kuunda serikali hata kabla ya mpambano wenyewe? Afadhali chama wangemwachia Zitto kumbe. Chadema yapania kunyakua majimbo 80 Daniel Mjema, Moshi CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejiwekea mkakati wa kunyakua majimbo 80 katika uchaguzi mkuu...
Back
Top Bottom