Search results

  1. M

    Na hawa nao jee ?

    Tumesikia habari ya mama Salma Kikwete ya kusomewa taarifa za maendeleo ya Mikoa na Wilaya na itifaki zake na hawa Makamba, Chiligati, Mkuchika na Kidawa viongozi wa sekretariati ya CCM kulipwa mishahara na marupurupu mengine kutoka katika Hazina ya Taifa ikoje ? Kama Makala analipwa na...
  2. M

    Thamani ya hisa za rites/trl

    Mchakato wa kujua thamani ya hisa za Rites katika TRL waanza .Habari hii imeandikwa katika gazeti la Nipashe la Jumatatu 29.03.2010 inatia kichefuchefu kwamba serekali hii haijui hata hizo hisa waliuza kwa thamani gani eti sasa ndio wapo katika mazungunzo na wala hawataki kusema waliuza kwa...
  3. M

    Salma Kikwete: Ni nani?

    Najua kwamba Salma Kikwete ni mke wa Rais J.M.Kikwete kinachonisumbua ni nafasi yake katika utumishi wa Umma maana mama huyu amekua akifanya ziara nyingi nchini sijui ni za kiserekali, binafsi au za chama na kila alipoenda amepokelewa kwa hadhi ha kupewa ulinzi na kupewa taarifa za utendaji wa...
Back
Top Bottom