Na hawa nao jee ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na hawa nao jee ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by miner, Apr 13, 2010.

 1. m

  miner Member

  #1
  Apr 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumesikia habari ya mama Salma Kikwete ya kusomewa taarifa za maendeleo ya Mikoa na Wilaya na itifaki zake na hawa Makamba, Chiligati, Mkuchika na Kidawa viongozi wa sekretariati ya CCM kulipwa mishahara na marupurupu mengine kutoka katika Hazina ya Taifa ikoje ?

  Kama Makala analipwa na CCM iweje wenzake walipwe na dola inanikera nisaidieni pengine ipo sawa
   
Loading...