Search results

  1. MISULI

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Kwahiyo before 2020 hakukua na udhalimu?
  2. MISULI

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Kinachowatesa ni chuki binafsi dhidi ya Magufuli. Hakuna mwenye hoja za maana.Mimi toka nakua naona CCM wanaiba Kura tena kuna watu wanapotezwa. 2001 watu walikimbia makazi Zanzibar na kuwa wakimbizi lakini mtu anakuambia hakuna uchaguzi mbovu kama wa 2020.Huwa sijui wanatumia references gani.
  3. MISULI

    Ulifanyaje kipindi huna hela? Yaani maisha yamekupiga total knock out!

    Mkuu we tafuta vifaa vya kupandia mlima anza kuzunguka kwenye makampuni ya kupandisha watalii.
  4. MISULI

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka umechanika but una kitu.
  5. MISULI

    Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

    Kwahiyo we ukitishiwa kuuawa unaanza kupiga kelele mtaani hadi jeshi la polisi lipeleke kesi mahakamani?
  6. MISULI

    Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

    Kwahiyo huyo msukuma mmoja ndio sample ya ukabila?Rafiki yangu ni mchaga alipata ajira 2019
  7. MISULI

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Karibia nchi zote usafiri ni masaa 24. TUAMKE
  8. MISULI

    Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

    Vyombo vya habari viko huru kuelezea lolote ila sio KUGUSA serikali.
  9. MISULI

    Umeme bado ni kizungumkuti licha ya mito na mabwawa kujaa maji

    Hili ttz litaisha hadi pale mkiambiwa muandamane kuipinga CCM mkakubali wito.
  10. MISULI

    Zile Makelele za Kukatika Katika Kwa Umeme Zimeishia Wapi?

    Makali yamepungua wapi?Acha uchawa wa kipumbavu
  11. MISULI

    Zile Makelele za Kukatika Katika Kwa Umeme Zimeishia Wapi?

    Mbeya mjini hakuna umeme toka Asubuhi na ni mgao kama kawaida. Kesho utakuwepo ila utakata jioni na kurudi saa 4 usiku. Shida ya umeme ipo ila sema tushazoea
  12. MISULI

    Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

    Kama hujawahi ongelea watanzania kuteswa Ngorongoro basi haya uliyoandika ni bure
  13. MISULI

    Maandamano Mbeya tayari barua ya taarifa imepelekwa Polisi

    Jina Zuri sana ila humo KICHWANI ni ZERO.
  14. MISULI

    Naungana na Paul Makonda "Tanzania Hakuna Upinzani, Kuna Watoa Taarifa"

    Hakuna chama cha kweli kinaweza kupata usajili.
  15. MISULI

    Naungana na Paul Makonda "Tanzania Hakuna Upinzani, Kuna Watoa Taarifa"

    Chadema sio chama cha upinzani, hawa ni watoa taarifa. Wao ni kusema CCM mafisadi, Bandari imeuzwa mara tunataka katiba mpya mara tume huru ya uchaguzi nk.Hiki sio chama cha Kuhakikisha yale wanayoyaongea yanafanyiwa kazi.Ukisema CCM ni mafisadi au tunataka katiba mpya basi lazima vitendo vya...
Back
Top Bottom