Search results

  1. G

    Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

    Sasa hao waandamanaji wanabwekea huko collages US si waende Gaza kwenye eneo la tukio wakawasaidie magaidi...huo ndio msaada unaohitajika!.
  2. G

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Utajua mwenyewe, mie nnachojua JPM hakuwa babu kubwa sana hasa kwenye utawala bora, ila huyu mamako ni hamna kitu...kuna kakikundi fulani tu kadogo kenye maslahi ndio kanatumia nguvu kubwa kumpamba mf Nape ili waendelea kula kwa urefu wa kamba zao!
  3. G

    Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    Hao ndio walioambiwa/waliopewa ruksa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, watz twafaaaa!.
  4. G

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Kwa hivyo Kizimkazi kahamisha tatizo, hv washauri wa huyu mama ni akina nani??
  5. G

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Wewe ni muongo pamoja na chuki zako kwa Jiwe, kweli jamaa lilikuwa dikteta ila nakumbuka wakati wake uchumi wetu ulikuwa namba 9 Afrika, huku Kenya wakiwa wa 7. Mamako katurudisha nyuma kwa nafasi moja zaidi kwa kurembulia mafisadi.
  6. G

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Uwe unaelewa Ustadh, ishu hapa ni ridhaa ya wahusika wote wawili. Tukio la Uhispania mchezaji hakuwa ameridhia kupigwa busu la mdomo (kalazimishwa) sasa huwezi ukalinganisha na kitendo cha shabiki mwanamke wa Iran aliyekumbatiana (hakuna kulazimishwa/wote wanaonekana kuridhia) mchezaji mwanaume...
  7. G

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Acha uongo, yule boss wa uhispania alimbusu mdomoni mchezaji mwanamke bila ridhaa yake.
  8. G

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Huyu Mama huwa wanamdanganya huyuuu, sijui huwa wanamuonaje onaje?!.
  9. G

    'Mama Anatosha' Hii ndiyo kauli mbiu ninayotamba nayo mitaani kwangu na kuungwa mkono kwa wingi

    Huyo mama yako labda anakutosha we mwenyewe, usitusemee wote.
  10. G

    TIC- Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete Iliongoza Kuvutia Wawekezaji, Mitaji na Biashara. Awamu ya 6 ya Samia Yashika Nafasi ya Pili

    Binafsi, miongoni mwa mambo aliyoyavuruga ni kuua biashara kati ya Tz na Kenya. Change ya Kenya kwasasa iko juu mnoo dhidi ya pesa yetu...hapa huyo Hangaya wako ameniathiri moja kwa moja pamoja na maelfu ya wafanyabiashara wengine hasa wanaotumia mpaka wa Namanga na Sirare.
  11. G

    TIC- Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete Iliongoza Kuvutia Wawekezaji, Mitaji na Biashara. Awamu ya 6 ya Samia Yashika Nafasi ya Pili

    Ila Hangaya inatumika nguvu kuubwa sana kutuaminisha kwamba mambo yako safi, ila huku site mambo ni tofauti. Wachache wenye kamba ndefu ndio wanakula maisha.
  12. G

    Bashungwa Ashiriki Maombi na Dua ya Kuliombea Taifa

    Katiba inasema Serikali haina dini, sasa hayo maombi ya kazi gani tena?!.
  13. G

    Iran na Israel nani Mwamba

    Ye akijibiwa utaona mashirika ya haki za binadam yanalialia cease fire, cease fire!.
  14. G

    Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

    Kama anapenda sana vyeti aende shule bado hajachelewa, hivyo vya kupewa bure ni dharau kubwa!.
  15. G

    Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Kiukweli kabisa, hyu mama hatoshi basi tu!. Hata wazito ndani ya ccm wanajua sema kamwe hawawezi kusema hadharani!.
  16. G

    Rais Samia atunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024

    Sasa hiyo doctorate magumashi inatusaidia nn sie wananchi wa huku Namtumbo??. Nadhani ile halisi ndo inaweza kuwa na kitu kichwani kusudi ilete matunda ktk field.
Back
Top Bottom