Search results

  1. M

    Je, Polisi wa Tanzania Wananyanyasa Raia?

    Kauli ya wiki hii ya ASP Mungulu aliyotoa wakati akimtaka Mhe. Nassari (Mb) ajisalimishe mwenyewe polisi inaashiria nini? Nanukuu "Kama Nassari hatajisalimisha mwenyewe sisi tutamzalilisha" (ASP Mungulu)
  2. M

    Kutumia shilingi bilioni moja kukagua miradi ya shilingi milioni mia nne

    Kumekuwa na kawaida ya viongozi wakuu wa kitaifa hususan rais na waziri mkuu wake kufanya ziara za mikoani na wilayani kwa lengo la kukagua miradi na wakati mwingine kuwawashukuru wapiga kura. Ziara hizo zinaligharimu taifa (walipa kodi mabilioni ya fedha) Kwa mfano rais anatumia kwenye ziara...
Back
Top Bottom