Search results

  1. N

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Hivi kwa nini akina VODACOM na wenzao hawatoi misaada kwenye Mahospitali ambapo pana upungufu wa madawa, vifaa vya kazi? Sponsorship zao mkwenye michezo mimi hazinigusi sana kwani mwannchi wakawaida hafaidiki na misaada hiyo. Waache cheap popularity!
  2. N

    Strategy wapinzani wanayotakiwa kuitumia..Tena sasa hivi yaani kuanzia sasa

    Wapinnzani mnatakiwa kutoa elimu ya uraia huko vijijini ili wananchi wajue haki zao na na namna ya kuzidai. Acheni kukimbilia mjini kwenye TV na Magazeti tu. Huku watu wengi wasomi na wenye kuelewa mambo hawapigi kura kwani ni kupoteza muda tu sanasana tutaenda kupiga kura mikoani kwetu. Mfano...
  3. N

    Nakutakia harusi njema easter mbezi & ndoa zote zinazofungwa kesho

    Esther, Katika ndoa yako YESU awe ndio Mkuu. Na model ya maisha ya ndoa ni YESU na Kanisa. Wala usicopy na kupaste ndoa ya fulani. Otherwise Mungu akubariki sana . Akupendaye Ngosha
  4. N

    Ndege ya emirates yachelewa kufika

    Tuombe Mungu, tatizo litatuliwe mapema ili isichelewe zaidi. Hayo ni mambo ya kawaida.
Back
Top Bottom