Search results

  1. B

    Huyu hapa ndiye Mgombea kwa Tiketi ya Chama

    Rais:JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI,na Makamu wa Rais ni SAMIA SULUHU.
  2. B

    Magufuli awatumia Wahandisi wa Serikali kumtafutia wadhamini wa urais CCM

    Kwakua ulipotoka napajua,una haki ya kuleta utumbo wako hapa. Mkifungua shule uje uchukue kalamu.
  3. B

    Aibu: CCM wawakataza watangaza nia kufanya midahalo popote pale nchini

    Na atapitikana hukohuko CCM. Ni suala la muda tu.
  4. B

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Ukweli ni kwamba jukwaa hili sasa linapoteza muelekeo. Jana Lowasa alikuwa uwanjani,na alikaa nyuma ya Mwamunyange......hiyo picha uliyoiita feki ndio orijino sasa. Lakini pia,tuache ushabiki wa kitoto,hivi nani kasema Rais atachaguliwa kwakukimbia au kusimama karibu na rais anayemaliza muda...
  5. B

    Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE

    Naomba kujua alipo huyu mtu kwani toka achaguliwe sijasikia alichokifanya. Amewaacha vijana wa CCM kama yatima wasijue pakwenda.
  6. B

    Joseph Selasini: Tumaini Jipya la CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro linalopotea

    We Ben mwenzi Simiyu yenu....jaribuni kushindana kwa hoja. Hii tabia mnaanza vizuri then baada ya muda mnaanza matusi sio nzuri.
  7. B

    Tabia hii itakoma lini?

    Huo ni usajuli wa kawaida tu......
  8. B

    CCM mtupatie majibu mapema na yenye kukidhi haja

    Jamaa maswali yako ni rojo sana. Chama chochote kinachoamini katika Demokrasia,lazima kiwe na utaratibu sahihi wa kuwapata au kumpata mtu atakayekiongoza kusaka nafasi ya kuliongoza Taifa. CCM kama tahasisi hakiongozwi kwa mihemko,ama kwakukaa baa na kuombana kugombea. Hivyo sio ajabu watu...
  9. B

    Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Waenndeleze hii sinema mpaka mwisho....isiishie njiani
  10. B

    Hivi ni wakati muafaka kwa UKAWA kuchukua dola 2015 au kujiimarisha kwenye ubunge?

    UKAWA sio chama cha siasa,nje ya kudai katiba hakuna UKAWA,kuna CHADEMA,CUF na NCCR. Kikubwa ni kuvishauri vyama hivi jinsi ya kuanza siasa za nje ya UKAWA.
  11. B

    Kama Katiba Mpya haitaitoa CCM ni kazi bure(No Value for Money)

    Hapa mkuu hujatumia akili kabisa. Juwa kuwa CCM haipo madarakani kwa mawazo ya mtu,ipo kwa wingi wa kura. WanaCCM na wananchi ndio watakao iweka ama kuiondoa CCM madarakani. Kuna mahali wengi mnashindwa kuelewa,ili chama kingine kishike hatamu,ni lazima kichaguliwe pia na wanaCCM kitu ambacho ni...
  12. B

    Namuunga mkono JK,yuko sahihi 100%.

    Kwanza tujiulize tofauti iliyopo kati ya uoga na unyonge. Rais angewaambia wana CCM waache uoga,hata mm ningepata wasiwasi,ila unyonge,sioni jambo la kutisha hapo. Mtu mnyonge huwa ana kiu ya haki,muoga ana kiu ya damu. Mnyonge halipi kisasi unyonge ukimuisha bali hufurahi kuipata haki...
  13. B

    Kikwete: Mpaka sasa, Tanzania kuna Ndovu 13,084 tu wakati mwaka 1976 walikuwa 109,419

    Salama sana wana JF?. Nianze kwa kukiri kuwa nchi yetu ipo hapa ilipo kwa sababu tumependa iwe hapa. Nimemsikia Rais wangu,mtanzania mwenzangu,akilalamika kuhusu mambo mengi. Hivi karibuni nimemsikia akilalama juu ya ujangili,huku akiwa nje ya nchi. Rais wangu anawajua majangili,anamfahamu mmoja...
  14. B

    Mmoja kati ya mashabiki apasuliwa jicho kwenye vurugu Mahakamani.

    Na bado,mpaka afe mtu ili cd ziuzike kuleee!
  15. B

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Ni imani yangu kuwa kwa sasa kila mtu anauona ukweli wa mgogoro uliopo CHADEMA,mgogoro ambao chanzo chake si kingine bali ni mgongano wa maslahi. Niwakumbushe viongozi wa CHADEMA kuwa "kivuli cha fimbo hakimfichi mtu jua",hivyo ni wakati sasa wa kukubaliana na ukweli kuwa mwenyekiti wa chama...
  16. B

    Miaka 52 ya Uhuru na Umeme wa kupapasa.

    Ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa bei mpya ya umeme,nimejiuliza maswali mengi sana. Baadhi ya maswali ni haya;MOSI,umeme wa uliopandishwa bei ni upi?,ni huu unaogawiwa kama nyama robo kwenye familia ya watu kumi?,PILI;hivi ule waliosema unapelekwa vijijini ni upi?,ni huuhuu ambao unapatkana...
  17. B

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    Hapa suala sio chama,suala ni nani mwenye uwezo wa kututoa kwenye tope tulilozama?. Tunaweza tukawa na vyama 100,ishu vinaongozwaje?,nani aliyetayari leo hii kusema pasi na shaka kuwa chama fulani kiko sahihi kuliongoza taifa letu?,nadhani ufike wakati tujadili MASUALA badala ya watu au vyama...
  18. B

    SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

    Jamani kuna gazeti na ka-gazeti. Si dhani kama JK anaakili ndogo kiasi hicho. Mwenyewe anajua kuwa Membe kalala usingizi wa pono akisubiri ndoto za kuwa Rais ili aweze kudili na jamaa zake 11,halafu JK amzindue kwa kumpa Uwaziri mkuu?,akishtuka si ataanza na yeye mwenyewe?. JK akili mia,anajua...
  19. B

    Rais ajaye ayajue haya

    Heri ya Mwaka Mpya. Naependa kujadili kidogo mambo ambayo rais ajaye anapaswa kuyafahamu kabla hajaja kutuomba ridhaa ya kutuongoza. Mambo hayo ni haya; 1.Ajue kuwa vijana wamepuuzwa na kudharauliwa ndani ya nchi yao.Wamefanywa kama daraja la wazee kuyafikia mema huku vjana wakibaki kuwa...
Back
Top Bottom